Nipeni Uzoefu wenu!

Nipeni Uzoefu wenu!

nyquist

Member
Joined
Nov 7, 2010
Posts
25
Reaction score
0
Habari zenu wake kwa waume ktk hili jukwaa.
Nina mpango wa ku purchase gari aina ya ISUZU wizard,Naomba uzoefu wenu juu ya gari aina hii NB: uzuri wake na matatizo yake, pia mnaweza kunipa alternatives zingine ili niweze kuspend pesa yangu ktk gari muafaka.
Angalizo:
engine isizidi 3000cc
good fuel consumption
 
Sina uzoefu sana na hizo gari lakini ungejaribu kuulizia upatikanaji wa spea zake upo vipi, otherwise mi naiona ni gari nzuri yenye mvuto
 
17974a.jpg
17974b.jpg
17974c.jpg
17974d.jpg
17974e.jpg
17974f.jpg
17974g.jpg
17974j.jpg
17974k.jpg
 
mkuu hata mimi na i feel sana hiyo mashine, ngoja nisubiri wadau watoe michango yao kwani ni muhimu ili niweze kufanya maamuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom