Nipeni ushauri juu ya huyu mke wangu...

Nipeni ushauri juu ya huyu mke wangu...

kiben10

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
615
Reaction score
791
Mke wangu amesafiri kaenda kwao kusalimia, ni week ya pili sasa imepita tangu ameenda kwao.

Sasa nimetafuta number nyingine asieijua nimempigia nikamtongoza na akaniambia kuwa hayuko Morogoro, yuko mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nikampokee Msamvu Bus terminal, nimemtumia nauli kaniambia anarudi Jpili nikampokee Msamvu sasa.

Sasa nimempigia kwa number yangu anayoifaham nikamuliza lini anarudi kanaimbia anarudi Jtatu. Nimemuuliza kuhusu nauli kaniambia anayo, sasa sijui nikampokee Jpili or Jtatu kama alivyoniongopea, ili niepushe Kuua?

Au niende Jtatu na Msamvu na TALAKA yake? Naombeni ushauri maana naona huu mwaka unaonekana wa kumwaga DAMU tu aisee
 
Kiben10 .

Usipoenda JPL, utakufa wewe.

Ukienda JPL na moyo mdogo bado Utakufa wewe maana kumpenda unampenda na kumuacha huwezi

Kwenye Afyaz kuna wakati mf.. Anakuja mgonjwa wa kansa labda yupo stage 4, unajua kabisa huyu Nisipomuanzishia matibabu Atakufa tu.. Na hata nikimuanzishia matibabu Bado Atakufa tu.

Unachokifanya kama Mtalaamu wa Afya.. Ni kumuanzishia Matibabu tu, ili mgonjwa kimoyomoyo aendelee kukuombea kwa Mungu tu, na kumsaidia Asife kwa Mateso !!.."Tumejitaidi sana lkn Mbingu zimempenda zaidi"

Kwa Case kama yako, Usipoenda, Ukienda bado hayaondoi ukweli kua HAUNA MKE, BALI UNA MKE WA WATU...

KIPI BORA??? BORA UENDE TU JOMBAAA..UKIWA NA MOYO MUGUM UTAKUA KTK MAZINGIRA MAZURI .

H/W.... Tafakari sana ,kaa chin utafakari ni wapi ulikosea.. TATIZO LIKO KWAKO...
Inawezekana kabisa kabisa kila kitu unakifanya kwa 100%, ila KOSA LAKO, ULIKOSEA KUCHAGUA MTU ANAYEENDANA NAWEWE.
 
Imeandikwa usimjaribu mwanamke mkuu.
 
Yaani asilimia kubwa ya wanawake nyakati hizi hawajui kukataa kabisa, inabidi tu tuendane na mazingira hakuna namna, sema usiue mkuu , kama wanawake wapo wengi tu , pia tusipende kuwajaribu wake zetu ,hawa wanawake wa sasa wanamapungufu mengi sana
 
Kiben10 unalelewa alafu uende na talaka!

Sio shida ila tambua kuwa ni mke wangu na me ndio ninampatia RAHA sio kama unaona me nalelewa tu, na utamu pia nampatia
 
Mpokee tuu jpili na j3 pia nenda kampokee!!ila mkeo ni maarage mabichi.nikwambie kitu...wanawake wengi au asilimia kubwa sasa hivi ndio wako hivyo.hawajui kukataaa

Daaah
 
Kajifiche hapo msamvu Jumapili ili uone anavyohangaika kumtafuta mtomba.ji akimkosa ataenda nyumbani kwenu. Hapo mbane kwanini karudi Jumapili na siyo Jumatatu na kwanini hakukutaarifu kuhusu kurudi Jumapili?

Mke wangu amesafiri kaenda kwao kusalimia, ni week ya pili sasa imepita tangu ameenda kwao.

Sasa nimetafuta number nyingine asieijua nimempigia nikamtongoza na akaniambia kuwa hayuko Morogoro, yuko mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nikampokee Msamvu Bus terminal, nimemtumia nauli kaniambia anarudi Jpili nikampokee Msamvu sasa.

Sasa nimempigia kwa number yangu anayoifaham nikamuliza lini anarudi kanaimbia anarudi Jtatu. Nimemuuliza kuhusu nauli kaniambia anayo, sasa sijui nikampokee Jpili or Jtatu kama alivyoniongopea, ili niepushe Kuua?

Au niende Jtatu na Msamvu na TALAKA yake? Naombeni ushauri maana naona huu mwaka unaonekana wa kumwaga DAMU tu aisee
 
Mke wangu amesafiri kaenda kwao kusalimia, ni week ya pili sasa imepita tangu ameenda kwao.

Sasa nimetafuta number nyingine asieijua nimempigia nikamtongoza na akaniambia kuwa hayuko Morogoro, yuko mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nikampokee Msamvu Bus terminal, nimemtumia nauli kaniambia anarudi Jpili nikampokee Msamvu sasa.

Sasa nimempigia kwa number yangu anayoifaham nikamuliza lini anarudi kanaimbia anarudi Jtatu. Nimemuuliza kuhusu nauli kaniambia anayo, sasa sijui nikampokee Jpili or Jtatu kama alivyoniongopea, ili niepushe Kuua?

Au niende Jtatu na Msamvu na TALAKA yake? Naombeni ushauri maana naona huu mwaka unaonekana wa kumwaga DAMU tu aisee
Sasa utaua nini au nani wakati yote yanakuhusu wewe. Nenda jpili usije ukamfanya akalala nje. Akikasirika ajiulize kwa nini hana uaminifu na ukweli.
 
Umecopy wapi hii...??

Naomba ushauri kwani mimi unadhani hapa Jukwani nimekuwa kuomba ushaur kwa hadithi ya kutunga? Au unahitaji Jnne ukute hbr kwa vyombo vya habari juu ya hili?
 
Kiben10 .

Usipoenda JPL, utakufa wewe.

Ukienda JPL na moyo mdogo bado Utakufa wewe maana kumpenda unampenda na kumuacha huwezi

Kwenye Afyaz kuna wakati mf.. Anakuja mgonjwa wa kansa labda yupo stage 4, unajua kabisa huyu Nisipomuanzishia matibabu Atakufa tu.. Na hata nikimuanzishia matibabu Bado Atakufa tu.

Unachokifanya kama Mtalaamu wa Afya.. Ni kumuanzishia Matibabu tu, ili mgonjwa kimoyomoyo aendelee kukuombea kwa Mungu tu, na kumsaidia Asife kwa Mateso !!.."Tumejitaidi sana lkn Mbingu zimempenda zaidi"

Kwa Case kama yako, Usipoenda, Ukienda bado hayaondoi ukweli kua HAUNA MKE, BALI UNA MKE WA WATU...

KIPI BORA??? BORA UENDE TU JOMBAAA..UKIWA NA MOYO MUGUM UTAKUA KTK MAZINGIRA MAZURI .

H/W.... Tafakari sana ,kaa chin utafakari ni wapi ulikosea.. TATIZO LIKO KWAKO...
Inawezekana kabisa kabisa kila kitu unakifanya kwa 100%, ila KOSA LAKO, ULIKOSEA KUCHAGUA MTU ANAYEENDANA NAWEWE.

Shukrani sana kwa ushauri wako ndg yangu, sasa nifanye nini maana jua NAMPENDA sana, ila kwa hili je? Nikikutana na Njemba nifanye nini? Or niandae Knife tu nimpeleke mtu kwa Sir God?
 
Back
Top Bottom