Nipeni ujanja wa kupata dashbord ya zte au huawei.

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Wanandugu natumai mpo safi kwa uwezo wa mungu.wazee nipeni ujanja wa namna ninavyoweza kupiga simu ktk pc yangu,dashbord za huawei zile za zamani zilikuwa na option hiyo ila za sasa hazina hiyo kitu,kama kuna yeyote anaweza kunipa muongozo wa namna ya kupata dashbd yenye uwezo wa kupiga au kupokea simu nita furahi.
 
Tafta modem ya zantel au sasatel install dashboard yake itakubali kupiga na kupokea simu line zote
 
Wanandugu natumai mpo safi kwa uwezo wa mungu.wazee nipeni ujanja wa namna ninavyoweza kupiga simu ktk pc yangu,dashbord za huawei zile za zamani zilikuwa na option hiyo ila za sasa hazina hiyo kitu,kama kuna yeyote anaweza kunipa muongozo wa namna ya kupata dashbd yenye uwezo wa kupiga au kupokea simu nita furahi.

niPM achia mail address nku2mie dashboard hzo!
 
Mkubwa chief mkwawa.nimekupata kaka. Pia dlink nime ku pm.
 
Back
Top Bottom