Nipeni siri ya kufanya tendo la ndoa round mbili au zaidi

Kwani unakwenda kulima. Round 5 na mwenzio kakwambia anataka hizo round 5. Ndo maana wanaume tunakufa mapema kufikiria visivyo na maana. BTW Shindana tu na hiyo elastic utaiacha hivo hivo muulize baba yako.
 
Mapenzi sio kazi ni starehe... Kama uwezo wako ni raundi moja kwanini uongeze???
 
Nguvu ni asili namaubile yamtu fanya kwakadri mungu alivo kujalia kusuguwa saana au kupiga bau zaidi yamoja sio ujanja omba upate mwanamke ambae unapofanya nae tendo landowa anaridhika mapema kumfanya mwanamke atowe hamu yake simchezo mchozo kama watu humu wanavo sema omba upate anaeridhika mapema damu yako imeendana nawewe wengi hawajuwi haya ninayo yasema
 
Pole sana.
Badili mfumo wa vyakula, utakuwa unajitibu.
Acheni vyakula vyenye mafuta, piga matunda kwa Sana.

Maji, mazoezi kwa wiki moja hata siku tatu, acha tamaa uwe na mpenzi mmoja umpendaye tu.
 
Hodi hodi humu ndani naomba mnipe siri ya namna yakufanya tendo la ndoa mzunguko zaidi ya mmoja, yaaani kupiga mara mbili au tatu inahitaji ujuzi au vitu gani?

Mkinipa hii siri natumaini mtakuwa mmewasaidia wanaume wote wa Dar es salaam maana niliwasikia wakitafuta maufundi haya karibuni uwani kwa mchango wenu.
Mkuu kwanini utumie identity ya watu wengine kuomba msaada? Si useme tu wewe ndiye unahitaji? After all, humu tunatumia fake IDs, unaogopa nn?
 
Demu mpya nagonga mbili au tatu ila sijui kwa nini nkishamzoea mbili kwa tabu sana na inachukua muda mrefu
 
Back
Top Bottom