Nipeni siri ya kufanya tendo la ndoa round mbili au zaidi

1. kula vizuri na ukashiba.

2. Usitoke huko na mauchovu yako unaenda kumdandia mtu wako..

3. Uwe kwenye good mood, stress free...

4. Pale siyo uwanja wa vita au mapambano, endana na mikato. Kuna muda wa speed na kuna muda wa taratibu...

5. La muhimu kuliko yote, its all in your mind set... Ukiweza kucontrol mind yako, utaweza piga hata 5



Cc: mahondaw
 
Nenda kakate kwanza hilo tumbo liwe flat halafu ndio urudi tuendelee kukushauri
 
mimi nina mpenzi ambaye nampenda sana ila ajabu nikiwa kwake mambo hayaendi na nafanya kanuni zote ila nashindwa ,najicontrol nisiwe na stress nakula vyakula vya asili,mazoezi ya kutosha lakini nikienda kwake bado nashindwa ajabu nikienda kwa mwingine nafanya ninavyotaka mm nisaidieni nifanyaje
 
mimi nina mpenzi ambaye nampenda sana ila ajabu nikiwa kwake mambo hayaendi na nafanya kanuni zote ila nashindwa ,najicontrol nisiwe na stress nakula vyakula vya asili,mazoezi ya kutosha lakini nikienda kwake bado nashindwa ajabu nikienda kwa mwingine nafanya ninavyotaka mm nisaidieni nifanyaje
Unachoshindwa ni nini brother? Yaani jogoo haamki au unishia dk 3 unashusha mzigo?
 
Kwa ushauri anaoendelea kupewa jamaa basi kuna uwezekano wanaume wengi wanakomea goli moja tu,maana mpk usiwe na stress za madeni,kodi,shule n.k ndpo uweze kuperform good work basi kazi ipo.
 
Kwa Asili Mwanaume ameumbiwa Bao moja tu.

Bao zaidi ya moja ni sawa na kubeba ndoo ya maji kujazia bahari ya Hindi , haitajaa.

Ila kama unataka bao mbili, Kwanza Sali kabla ya kupiga mashine, sali sana, Ili uonyeshwe pa kusugua vizuri, Pia make sure umepiga mswaki ili mwanamke wako awe comfortable na kunyonyana ndimi maana kuna mijianaume umekula maharagwe na mchicha haijaswaki ikipiga denda inamwachia mwanamke maukoko.

Pia , Stim ya mwanamke ipo juu/nje ya uke, usitake kuingiza ndani kila mara, msugue juu juu.

Pia hakikishi kabla hujamgegeda huyo mwanamke ni mkeo na si vinginevyo, Kama ni dem hata ukipiga bao yeye hatafika kileleni, na hii ipo ki maandiko kabisa.

Tatu, vyakula kama Chips kuku, mayai, Pombe hasa Heineken , matunda kama Mafenesi na Apple yanaonekana kupunguza nguvu za kiume hasa kuzuia bao , hayashauriwi.

Pia nitawapa link, Sausage nazo zimeleta shida sana hasa kwa wavulana na Dar.Zinashusha dyudyu kabisa .

Note:Dada/mchumba/Mke fanya ufanyalo usimpe mmeo/kaka/mdogo/mchumba wako Chips, Sauasge, Mayai kisasa, Apple, Mayonaise, Azam Lambalamba, Heineken
 
Nina kitambi, sifanyi mazoezi, nakunywa sana pombe hadi naitwa Kitwanga, nakula sana wali,ugali na chips na chapati.

Lakini ninapiga zaidi ya 4 mara ya mwisho jana nimepiga 3 mzuka za kibabe..

Siri yangu ni moja tu "NAKUNYWA MAJI ZAID YA LITRE 4 KWA SIKU"..
KITWANGAA
 
Back
Top Bottom