Hivi kwanini tuna vijimatege Fulani hivi ....nilijua peke yangu hahahahahhaha[emoji23][emoji23][emoji23] leo unanifurahisha ujue hahhha..ila sijui kwann wanaume wengi warefu wanatupenda wafupi..mm zaman sikua najiamin kbs..coz hom walikua wananicheka sana .alafu nilikua mkorofiiiii..alafu twin angu mrefu balaa[emoji23][emoji23] sasa nikawa najidefend kinoma noma..nilipokutana na hubby akaniambia napenda tege lako na height yako..at first aliniudhi sana..nikajua ananinyamba..ss hv aku..na nguo ndef siwez sijui sipend sipendezei..napendeza fupi..bas mie kwatuuu..nafanyeje sasa
Hivi kwanini tuna vijimatege Fulani hivi ....nilijua peke yangu hahahahahhaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaahahahahahahahahahah umenikumbusha kitu[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] ila ni kweli kabisaaaasifa za mwanamke mfupi ni kwamba hata uwe mrefu vipi mkilala kitandani wakati wa mgegedo mnalingana yaani mnakuwa sawa sijui huwaga ni kwa nini anayejua aniambie
Lol!
trust me
huwa na range 38-40kg
AhhahahahaHahahhahahahahaa....!dah...sasa mm hubby huwa ananitania..mwishowe ananiambia yanakupendeza [emoji23][emoji23] sijui kwann tu
Nakusalimia mpendwaMimi mrefu...japo wanasema vice versa is true but mwanaume mfupi bado ni changamoto kwangu!
Sister angu mrefu ila anapenda wanaume wafupi asee tumetofautiana!
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaa..spare my ribs plsutakapo nichapa hakikisha unakuja na ngazi ya kupandia tofauti na hivyo utaishia kunipiga miguuni.
vipi wewe ni kama gari gani?. naomba Uwe tu mkweli kumuogopa mungu.hahahaha aise
sawa mkuu..maana si kwa udogoloshi huu
Wanawake warefu hawapendi wanaume wafupi na wanawake wafupi hawapendi wanaume wafupi kama wao!Mimi mrefu...japo wanasema vice versa is true but mwanaume mfupi bado ni changamoto kwangu!
Sister angu mrefu ila anapenda wanaume wafupi asee tumetofautiana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusalimia ndugu mbilikimoweee!yaan mm ww unaniangalia utosini
mimba ina miezi 9,nina uzito wa kg 53.kwenye mimba ulifika had ngap ww..last month
Mwisho wa siku mapenzi sio mashindano ya kuringiana. You need someone who feels for you. Someone who strives to make you smile! Sijisifii but personally i also do have that character. That sense of humor! Just finding ways to make a woman smile...always! Short guys have that all na wanajua kujali haswa!Yes...unainjoy sana kwakwel...hawa warefu wanajishongondoa sana...ss mm ndo najishongondoaga zaidi yaoππ
waoooh! there you are Mr ExtrovertMwisho wa siku mapenzi sio mashindano ya kuringiana. You need someone who feels for you. Someone who strives to make you smile! Sijisifii but personally i also do have that character. That sense of humor! Just finding ways to make a woman smile...always! Short guys have that all na wanajua kujali haswa!
Mwisho wa siku mapenzi sio mashindano ya kuringiana. You need someone who feels for you. Someone who strives to make you smile! Sijisifii but personally i also do have that character. That sense of humor! Just finding ways to make a woman smile...always! Short guys have that all na wanajua kujali haswa!
mimba ina miezi 9,nina uzito wa kg 53.
Halafu nilijifungua mtoto mkubwa(3.5kg) mpk leo ukimuona mtt wangu mumy huwezi amini kama wangu,ana mwili kuliko mama ake