unacheka cheka nini kama umekandamiziwa na kitu kizzito mgongoni dogo!hebu tambaa hapa!utupishe!waulize wenzio walikuja na style hiyo hiyo ya nitoke vipi walivoondoka hata hawajijuia walipita mlango upi!teh teh teh
unacheka cheka nini kama umekandamiziwa na kitu kizzito mgongoni dogo!hebu tambaa hapa!utupishe!waulize wenzio walikuja na style hiyo hiyo ya nitoke vipi walivoondoka hata hawajijuia walipita mlango upi!
haya chapa lapa fasta
Halafu mwalimu hivi kila siku wewe na Snoball mnaitana kaka,dada mara pacha,mnataka kunyimana nini lakini...
SnowBall kuja huku kujibu shutma nzito popote ulipo pacha wangu!Halafu mwalimu hivi kila siku wewe na Snoball mnaitana kaka,dada mara pacha,mnataka kunyimana nini lakini...
nahisi kuna mtu anataka kupigwa bonge la kofiiiii
SnowBall kuja huku kujibu shutma nzito popote ulipo pacha wangu!
ahahahhahahhahahhahhaha
sasa hizi ni hasira za kuchomeshwa mahindi na st paka mweupe naona!
ahahahhahahhahahhahhaha utanunaaaje! watu8 mtani nakuona hapo chini hebu nitetee kidogo manake naona SnowBall mpka aje hapa ntakuwa nishawekwa hatiani!
nahisi kuna mtu anataka kupigwa bonge la kofiiiii
Ona sasa ushamwita tena pacha kuna nini lakini,mwambie shauri yake asije akatulaumu kina paka mweusi wakati yeye anajidai kujifichaficha.....
asikuwekee giza sio!
ahahahahhahahhahahhahahhahahh sijui sasa kama atakubali kuniacha nibanikwe ilhali anaona mtani wangu huyu!
tatizo sio wivu ni kujali tu!mtani wangu huyu ananijali mfano hakuna we si unaona alivokuwa warning hapo juu!Mwambie apunguze wivu tukishamalizana tutamwita.....hahahahahaha mzima lakini wewe..??
tatizo sio wivu ni kujali tu!mtani wangu huyu ananijali mfano hakuna we si unaona alivokuwa warning hapo juu!
mi mzima mwaya! za sikukuu ?
familia?
Nashukuru sikukuu imepita salama,ila hapo kwenye familia bado kidoogo ndio maana nataka kujua huu upacha wenu huu.....,maana mh..acha niache ila tuwe tunatupiana hata vi PM basi wakati mwingine ili huyu mtani wako watu8 asiwe anatusumbua..
Nashukuru sikukuu imepita salama,ila hapo kwenye familia bado kidoogo ndio maana nataka kujua huu upacha wenu huu.....,maana mh..acha niache ila tuwe tunatupiana hata vi PM basi wakati mwingine ili huyu mtani wako watu8 asiwe anatusumbua..
tatizo sio wivu ni kujali tu!mtani wangu huyu ananijali mfano hakuna we si unaona alivokuwa warning hapo juu!
mi mzima mwaya! za sikukuu ?
familia?
haka kaPaka keusi sijui kanataka tukapake rangi nyingine???
Kapakeni rangi ya Father Xmasshaka kaPaka keusi sijui kanataka tukapake rangi nyingine???
ahahhahahahahahahhahahhahahhahah mbavu zangu mie!
sasa ungejua ni bora ukae vizuri tu na watu8 akupe mizungu ya kwetu vinginevyo utaangukia pua!
na huyu mtoto wa mamake snowhite sijui kapotelea wapi jamani!
we SnowBall we lala tu huko dadako anasololewa hivi hivi we hata ulinzi aliokukabidhi baba hata huutumiii shaurilo!
Kapakeni rangi ya Father Xmass