Nipeni pole..,niko frustrated naombeni ushauri na faraja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipeni pole..,niko frustrated naombeni ushauri na faraja

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jeff, Jul 30, 2011.

 1. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kama mtakumbuka,miez michache iliyopita nilileta thread ya kuhusu mpenz wangu kubadilika huko chuon alipo moshi,sababu kubwa alisema ni kwa vile nilimdai pesa niliyomsaidia kulipa ada ingawa tulikubaliana nimuazime then atarudisha,na hiyo ilitokea baada ya kumuona amebadilika majibu yake kwenye simu na kusema yuko busy,sasa nimekuja moshi alipo lakin hatak kunionyesha anapokaa off campus na wala hakutaka kuongea na mm kwa kirefu akidai kuwa nimsubir akiwa likizo aongee na mama ake ndio aconclude,badae akaniambia its over ila tubak friends tu! Lakin marafik zangu na ndugu wanaomfaham wajue kama ameamua hivyo,nikajaribu kuulizia kwa rafik yangu ambaye ni mwalimu wake inaonekana kuna posibility ya kuwa amepata mtu,sasa je niendelee kumsikiliza anapokuwa na shida? Mana anaendelea kunitafuta akiwa na shida ila mapenz na mm hatak tena,
   
 2. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wewe ni jinsia gani!? msubirie ktk hiyo likizo mkae muongee na hapo utamfahamu sana direction yake. Pole sana na ngoja waje wadau wa MMU wakupe ushauri.
   
 3. Lord

  Lord Member

  #3
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hawa watoto wa Campus ni shida tupu. Kwanza wengi wao wana matarajio makubwa sana na mwisho wake huishia kubaya. We hakuna jibu la moja kwa moja hapo ila ukiona vipi achana naye huyo ashakuona wewe ni ATM akiwa na shida anakuja ku draw.
   
 4. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  unamdai mpenzi wako? hata mimi ningekubwaga.
   
 5. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Pole sana dada/kaka Zegere,

  Huhitaji kuwa frustrated na vitu vinavyopita. Kaa chini tulia, kama unafanya kazi endelea kupiga kazi achana naye wala usihangaike kumtafuta, atakutafuta mwenyewe akili zitakapokua zimekomaa, naimani utapata zaidi ya hicho ulichomsaidia. Cha msingi ni kuelewa wewe siyo wa kwanza kuwa katika saga kama hilo.

  Relationships nyingi ndiyo zilivyo siku hizi, utakuta watu wametoka mbali F4/F6 huko lakini mmoja akishafika chuo kutokana na hali halisi ya kuwa mbali basi kama si mvumilivu matokeo ndiyo hayo. Vumilia mkuu Zegere, utampata mwenye kukupa amani ya moyo.

  Ila niseme tu kuwa, bado tuna mambo ya kuingia kwenye relationship kwa sababu ya pesa siyo kwa kumpenda mtu. Ndo maana wadada wengi wanapaparukia wenye nazo kuliko kujitegemea kipesa kwanza. Hata ukitoka na mwanamke, utegee utalipa kila kitu na wala usitegemee sana siku moja utalipiwa.
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  Kishakubwaga huyo.
   
 7. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Achana nae huyo,inaonekana kilichomuweka kwako ni hela.Angalia utakuja angukia pua.
   
 8. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu/dada naona hapo tafuta ustaarabu tuu mwingine maana hakuna kitu hapo. Ashakuona wewe ni ATM yake sehem ambako akiwa na shida anaweza kupata pesa au ushauri wakati anauhitaji na sio mapenzi. Kama aliandikiwa kuwa wako atakuwa tuu ila kama sio usije ukaumia roho bure kwa mtu ambaye hana mapenzi na wewe. Hili lichukue kama fundisho na kama atakuja mongee issue za maana chunguza kwa makini kabla ya kukubali jambo lolote
   
 9. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,178
  Likes Received: 1,182
  Trophy Points: 280
  Sion 7bu ya wewe kuendelea kukomaa wakati dalili zoote za kukumwaga kakuonesha, ningekuwa wewe hata wakati wa likizo nisingemtafuta, be expensive bwana kama bado anakufeel atarudi otherwise tafuta mtoto ingine wewe ni wa pekee ukumbuke!
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Sijui wewe ni jinsia gani
  lakini mimi naona huyo anakutumia tu...

  Dawa yake ni kumwambia live kuwa hakuna huduma kutoka kwako mpaka
  utakapojua msimamo wake...
  Kama ni kusuburi,msubiri wote,na yeye shida zake zisubiri pia
   
 11. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  umelikoroga mwenyewe,yaani unamdai chumba wako wakati wenzio wanatoa mpaka magari sembuse ada! hapo kaka umeshapigwa chini,songa mbele
   
 12. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Hii kali.............teh teh teh ..................kweli nashida zake zisubiri pia.
  Mi nashangaa sana wasichana wengine..............we mwanaume humpendi na inaonekana wazi huna plan naye ya leo wala kesho..............halafu vyake unataka....................kama una hali ngumu kiuchumi si uwe maskini jeuri tu!...............ziki zako unazibeba kwenye mfuko wa rambo????mi huwa naona ni kujidhalilisha tu!

  Kaka Zegere huyo achana naye na huduma sitisha ila ambavyo ulishampa usidai,nakumbuka ulisema hata ada ulimlipia,sio ustaarabu kumdai kwa kuwa alikuwa mpenzi wako.
   
 13. M

  Maega Senior Member

  #13
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hauna haja ya kuumiza kichwa hapo, simply anza kumsahau tu
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  nenda KANISANI KASALI UKESHE UMSHUKURU MUNGU NIWA WACHACHE UNAWAJUA HIVYO KABLA YA KUOANA HUYO ANAKUTUMIA KAMA ATM MACHINE NA ANAJUA UDHAIFU WAKO HUKO HAP SO JIREKEBISHE AMA ACHANA NAE KABISA MEN NT ATM MACHINE IS A LOVE MACHINE
   
 15. alexmahone

  alexmahone JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60


  Ameshakuambia its over..,nini tena kimebaki..Nikisoma maneno yako hapo juu ni dhahiri kuwa ulimpenda sana mtu wako,cjajua kwanini ulimdai pesa uliyompa...Kama ww ni mvulana hlo ni kosa kubwa sana.,Akiwa chuoni anaona wenzake wanapewa na jamaa zao pesa nyingi,vito vya thamani..,outing za kutosha..,achilia mbali matembezi ya mbugani.,visiwani,nchi jirani n.k

  aaaaaaaah.........PC yangu imeisha chaji..,umeme wamekata bac tena.........
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  mpotezee kama huna shida na hio pesa..............
   
 17. M

  MORIA JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Poleee...ndiyo ukubwa huo...inaonekana pamoja na visa vyoote bado unampenda sana huyo wakusoma..sasa dawa ni wewe kufika kwa college na kudai chako ikiwezekana beba cha thamani ya fedha yako uliyompa...wahenga wanasema uktaka mwali asirudi tena mmwagie maji ya ukoko...penzi lililovunjika kwa visa halina kivuli..
   
 18. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dah sasa apo unauliza nini?


  aya wima wima ..futa namba ya demu kwa simu yako
  iblock isiingie tena

  AKUTAK
  ANA MWNGNE

  fanya mpango umtafute wako
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  UMEONGEA VYEEEEEEEMA
  nahis ddemu ameboreka na icho cha kudaiana pesa...yale ya kitoto mkigombana kdg...nipe picha zangu..nirudishie chen yangu..nirudishie boksa yangu niliokununulia...WAKAT WENZAKO UKO FULL KUONGA..ata io ulomkopesha labda alikuwa anaona ndgo n still bado unamdai ehh demu akaona apa akuna maisha..sasa km tunadaiana itakuwaje?inamaaana awez kunisaidia uyu?sa boyfrend gan uyu...na apo apo labda kulikuwa na njemba full kudondosha sent ata km ndogo lakin aonyesha dalili za kudai...sa ata km ungekuwa wewe ungefanyaje?

  USIMDAI DEMU PESA...yaaan dah sjui anakuonaje..yaan uyu kweli ananidai pesa..sasa nikiumwa kweli ataweza kunisaidia?mtu ukiwaza ivo tu unaona ahh akwende zake mchumba gan uyu


  wanaokopeshana nia wachache tena washaelewana wamekaa mda mrefuuuu so ni km mahaba tu ..lakin sio katika hali ya mtu anashda tena anasoma ..HANA KIPATO..anakukopa pesa afu we unamdai..afu apo apo wajifanya unampenda..mhh upendo gan sasa u?

  ashaondoka uyo
  lakin kakupa lesson..usirudie tena.
   
 20. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  .
  Bwana weeeeee, yaani hii kauli ya lets be friends, au tubaki friends huwa huijui?.

  Kwa kifupi, hii ndio the most common relation break up sentence.

  Ameshakubwaga, ila vumilia kiume, kuwa jasiri, na shukuru kakuonesha rangi zake kamili kabla hukuamua kuuvaaa mkenge.

  Chochote unachotarajia kukifanya sasa hivi ulikurudisha uhusiano unakaribisha janga.

  After all ni uhusiano tu wala, sio ndoa

  kukill maumivi tafuta nyimbo ya JUMA NATURE YA SITAKI DEMU, IPIGE UIMBE ULIE UCHEKE, then utasahau tuu.
  Wimbo woenyewe huu hapa.
  Sitaki Demu - J. Nature

  Wasichana/wanaume wako wengi usiangaike nae.
  Kaza moyo sema nawewe Its over, ukiweza badili no ya simu, na sepa.

  Mimi natofautiana na wengine hapo juu, kama alikukopa, ulikuwa na nahaki ya kumdai kama alikuwa na busara angekulipa au angekuambia kuwa atashindwa kukulipa, na ungemwelewa.

  Cha kujifunza.

  Chukua muda kabla ya kuanza uhusiano na mtu mwingine, pia kuwa makini usipigwe mizinga, kama ni demu, jua mademu wengi wachuo wananjaa, na
  kuwa nao makini sana, watakuaibisha.
  Take care
  by
  Babu
   
Loading...