Nipeni pole jamani

Nipeni pole jamani

Pole sana Mungu awepeni nguvu na uvumilivu. Safari ni moja kwa wote.
 
Nawashukuruni wote mlonipa Pole. Nawashukuru wote walohudhuria mazishi ya Baba yetu. Nawashukuru wote mlonitumia SMS za pole kwenye namba yangu ya Simu ya mkononi. Nawashukuru wote waliokuja nyumbani kuniona na watakaoendelea kuja nyumbani au Camarador Camp ndani ya jiji la Mwanza.

AHSANTENI SANA
 
Back
Top Bottom