Nipeni neno wenye hekima

Nipeni neno wenye hekima

Kiby Sio uchawi, ila jua katika dunia hatuiishi binadamu peke yetu. Kuna viumbe hatuvioni ila vipo, sasa itakua hiyo ndo michezo yao.
kwetu pemba kuna wakati tukienda pwani unakuta nyavu zimehamishwa, na siku nyingine chombo unaona kabisa kimetumika. Nliwahi kwenda sehemu ugenini, ilikua huko bara nilieka nguo katika mkoba ila siku ya pili nikakuta ziko kitandani wakati chumbani nimelala peke yangu na mlango nimefunga.
Miujiza na maajabu yapo, omba Mungu kabla hujalala wala hutodhurika
 
Niposa safarini nchi jirani kibiashara na nimeshukia nyumbani kwa rafiki yangu. Nimepewa chumba changu na ninalala humo peke yangu. Cha kunishangaza kama wiki tatu zilizopita nimeamka asubuhi nikakuta kiatu ninachovaa cha mguu wa kushoto ile carpet ya kukanyagia ndani ya kiatu imegeuzwa ndani nje. Nikajiuliza maswali mengi bila kupata jibu. Mimi ni mkristo nisiyetishika na mauza uza ya kishirikina nilikipiga kiatu damu ya Yesu na kuondoa shaka lolote. Wiki mbili baadae nimekivaa kiatu kile na hapakuwa na dhara lolote. Ninachoshangaa ni kwamba juzi usiku kuamkia jana nimeamka asubuhi na kukuta kiatu kile kile cha mguu wa kushoto carpet lake la ndani limegeuzwa ndani nje. Nimejiuliza maswali mengi na sikupata jibu ila mimi kama mkristo thabiti nimetupilia mbali dhana zote zinazoaminiwa ktk uchawi na uganga. Msingi huu nimeujenga juu ya uthabiti wangu kwamba sikuwahi kumwamini mchawi wala kumpa usikivu wa namna yeyote ile na pia sikuwahi hata kushika wala kuamini katika hirizi ya namna yeyote ile.
Hebu wanye hekima wa Jf tushirikiane katika hili ni nani au nini kinageuza carpet ya kiatu changu usiku? Nia na dhumuni ni nini? Niko fiti mentally na physically na sijaruhusu kwa namna yeyote kujiathiri kisaikolojia.
Inawezekana viatu ni vichafu na kwenye hiyo.nyumba kuna panya kwa hiyo usiku.panya huvutiwa na hiyo harufu ya uchafu na kutaka kula hiyo kapeti ya viatu vyako. Ni kishauri uzingatie usafi ikiwa ni pamoja na kutokurudia kuvaa soksi zaidi ya mara moja bila kufua, ukinawa miguu hakikisha unafuta maji vzuri na kama miguu yako inatoa jasho.sna tumia powder mara kwa mara.
ondoa.zana za kishirikina ishi kwa imani kwamba Mungu ndio mlinzi wako.
 
Je unalala na nguo ama uchi. Ukiamka unajikagua sehemu zote nyeti
 
.
Nalala na nguo ya kulalia na niakapo niko salama kabisa katika afya ya mwili na roho.
 
Inawezekana viatu ni vichafu na kwenye hiyo.nyumba kuna panya kwa hiyo usiku.panya huvutiwa na hiyo harufu ya uchafu na kutaka kula hiyo kapeti ya viatu vyako. Ni kishauri uzingatie usafi ikiwa ni pamoja na kutokurudia kuvaa soksi zaidi ya mara moja bila kufua, ukinawa miguu hakikisha unafuta maji vzuri na kama miguu yako inatoa jasho.sna tumia powder mara kwa mara.
ondoa.zana za kishirikina ishi kwa imani kwamba Mungu ndio mlinzi wako.
.
Viatu sii vichafu na hata kama vingelikuwa vichafu si panya wangekula carpet angalau kidogo au kulitoa nje ya kiatu na kuliacha? Lakini linageuzwa na kurejeshwa ndani pia ukizingatia kulirejesha inahitaji kulinyoosha kwa kuingiza mkono maana linabada. Sasa unalikutalimeingizwa vyema kabisa ila kwa kugeuzwa.
 
Kiby Sio uchawi, ila jua katika dunia hatuiishi binadamu peke yetu. Kuna viumbe hatuvioni ila vipo, sasa itakua hiyo ndo michezo yao.
kwetu pemba kuna wakati tukienda pwani unakuta nyavu zimehamishwa, na siku nyingine chombo unaona kabisa kimetumika. Nliwahi kwenda sehemu ugenini, ilikua huko bara nilieka nguo katika mkoba ila siku ya pili nikakuta ziko kitandani wakati chumbani nimelala peke yangu na mlango nimefunga.
Miujiza na maajabu yapo, omba Mungu kabla hujalala wala hutodhurika
.
Inawezekana kuwa hivyo mkuu ila kwangu ni ngumu kumeza maana sikuwahi kuona vya namna hiyo kabla.
 
Niposa safarini nchi jirani kibiashara na nimeshukia nyumbani kwa rafiki yangu. Nimepewa chumba changu na ninalala humo peke yangu. Cha kunishangaza kama wiki tatu zilizopita nimeamka asubuhi nikakuta kiatu ninachovaa cha mguu wa kushoto ile carpet ya kukanyagia ndani ya kiatu imegeuzwa ndani nje. Nikajiuliza maswali mengi bila kupata jibu. Mimi ni mkristo nisiyetishika na mauza uza ya kishirikina nilikipiga kiatu damu ya Yesu na kuondoa shaka lolote. Wiki mbili baadae nimekivaa kiatu kile na hapakuwa na dhara lolote. Ninachoshangaa ni kwamba juzi usiku kuamkia jana nimeamka asubuhi na kukuta kiatu kile kile cha mguu wa kushoto carpet lake la ndani limegeuzwa ndani nje. Nimejiuliza maswali mengi na sikupata jibu ila mimi kama mkristo thabiti nimetupilia mbali dhana zote zinazoaminiwa ktk uchawi na uganga. Msingi huu nimeujenga juu ya uthabiti wangu kwamba sikuwahi kumwamini mchawi wala kumpa usikivu wa namna yeyote ile na pia sikuwahi hata kushika wala kuamini katika hirizi ya namna yeyote ile.
Hebu wanye hekima wa Jf tushirikiane katika hili ni nani au nini kinageuza carpet ya kiatu changu usiku? Nia na dhumuni ni nini? Niko fiti mentally na physically na sijaruhusu kwa namna yeyote kujiathiri kisaikolojia.

mshana.njoo huku.huyu ana cha imani wala nini
 
Umewaza vibaya tu, hakuna watoto hapo? Kwanini akili yako imekutuma kwenye uchawi na Si vinginevyo like labda watoto au hata wengine humo ndani wamefanya kukijaribu kiatu hicho?

If you switch your mind into negatives will end up with negative.
.
Watoto wataingia je ndani wakati ninapolala nafunga mlongo?
 
Kabla hujalala hakikisha hyo kapeti unaigeuza kabisa ili tuone km atakusaidia kuigeza ili kesho usisumbuke kuigeza au ndo ataiacha hivyo hivyo ili tujue kwamba yeye anapenda uvae iliyogeuzwa.
 
Hemu toa kapeti kabla ya kulala na uiweke sehem nyingine hata kwenye nguo tuone inakuwaje hapo
 
Sasa hivi ndo nataka nilale na ndio nimevikagua viatu na kuhakikisha carpet yake ipo sawa japokuwa sio ndio nilivivaa leo wala jana. Nimefunga mlango na nishamshukuru Mungu kwa kunilinda katika siku.
 
Huenda hiyo kapet ya kiatu chako imelegea hivyo ukivua kiatu huwa unavua vibaya bila kuangalia na hivyo inajigeuza bila wewe kufahamu.
 
.
Sasa hivi ndo nataka nilale na ndio nimevikagua viatu na kuhakikisha carpet yake ipo sawa japokuwa sio ndio nilivivaa leo wala jana. Nimefunga mlango na nishamshukuru Mungu kwa kunilinda katika siku.
Ningekua wewe ningekaa macho, lakini kwakua unaweza kusinzia ningetumia simu yangu kurekodi kuanzia muda nitakaolala mpaka nitakapoamka.
 
Niposa safarini nchi jirani kibiashara na nimeshukia nyumbani kwa rafiki yangu. Nimepewa chumba changu na ninalala humo peke yangu. Cha kunishangaza kama wiki tatu zilizopita nimeamka asubuhi nikakuta kiatu ninachovaa cha mguu wa kushoto ile carpet ya kukanyagia ndani ya kiatu imegeuzwa ndani nje. Nikajiuliza maswali mengi bila kupata jibu. Mimi ni mkristo nisiyetishika na mauza uza ya kishirikina nilikipiga kiatu damu ya Yesu na kuondoa shaka lolote. Wiki mbili baadae nimekivaa kiatu kile na hapakuwa na dhara lolote. Ninachoshangaa ni kwamba juzi usiku kuamkia jana nimeamka asubuhi na kukuta kiatu kile kile cha mguu wa kushoto carpet lake la ndani limegeuzwa ndani nje. Nimejiuliza maswali mengi na sikupata jibu ila mimi kama mkristo thabiti nimetupilia mbali dhana zote zinazoaminiwa ktk uchawi na uganga. Msingi huu nimeujenga juu ya uthabiti wangu kwamba sikuwahi kumwamini mchawi wala kumpa usikivu wa namna yeyote ile na pia sikuwahi hata kushika wala kuamini katika hirizi ya namna yeyote ile.
Hebu wanye hekima wa Jf tushirikiane katika hili ni nani au nini kinageuza carpet ya kiatu changu usiku? Nia na dhumuni ni nini? Niko fiti mentally na physically na sijaruhusu kwa namna yeyote kujiathiri kisaikolojia.
Bila shaka ni Congo DRC
 
Ukigeuza hicho unachoita kapeti ya kiatu cha kushoto kitaingia vipi tena kwenye kiatu? Hujui kwamba ukigeuza itafanana na ya mguu wa kulia?
 
Back
Top Bottom