pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
raisi wangu naomba uangalie haya ktk awamu yako ya miaka 5;
Ukanda na ukabila umekuwa mkubwa sana.
Miradi ya maendeleo imekuwa pia na 'uelekeo' huohuo
Hakuna uhuri wa vyombo vya habari na demokrasia
Mihimili mingine iheshimiwe na ifanye kazi kwa mujibu wa katiba.
Budget ziheshimiwe kama zilivyopitishwa na wabunge.
Kuwepo na ukweli na uwazi kama awamu zilizotangulia.
Usawa kwa wote bila ubaguzi, tusiwe taifa la visasi.
nawasilisha.