1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,290
Nafikiri akishinda kwa haki kabisa basi Wapinzani inabidi wakae kimya kabisa mpaka 2025 mana watanzani wanategemea miujiza na wameridhika na hali watakayokutana nayo kiroho safi.Tumpe mingine ili awashugulikie wale wote walio mpinga na waliokusanyika kwenye mikutano ya wapinzani,pia apindue katiba ajiongeze miaka mingine ya utawala.

