Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,232
mie kiukweli nimekosa jibu sababu hesabu sizijui kabisa
Hesabu unazijua ndomaana huwa unadai chenji ukiwa bar au dukani
Hahahahaha wewe kijaza wa nini?
30....
4+2(8-3)/2-1 = 4+2(5)/2-1
4+2x(8-3)/2-1
MAGAZIJUTO: 4+2 x 5/2-1 = 6x5/2-1 = 30/1 = 30.
Jibu = 30.
Vilaza wa hisabati utawajua tu.
4+2(8-3)/2-1
4+2(5)/1
4+10/1
4+10
=14
Hili ndiyo jibu sahihi, wanaobisha endeleni kubisha.
Kama hamkupata feki shauri yenu, hili swali tulisolve na admin kabla halijawa posted, jibu 14. Kwa mwendo huu, idadi ya Div 5 ,sorry Div 0 or one of the above divisions whichever comes first, zitakuwa nyingi mwaka huu.
4+2(8-3)/2-1
4+2(5)/1
4+10/1
4+10
=14
Hili ndiyo jibu sahihi, wanaobisha endeleni kubisha.