Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,142
- 64,169
- Thread starter
- #21
Ameshindwa kujikomboa mwenyewe, ataweza kweli kunikomboa?Ebu nicheck pm chap..View attachment 3684673..š¤
Ameshindwa kujikomboa mwenyewe, ataweza kweli kunikomboa?Ebu nicheck pm chap..View attachment 3684673..š¤
Sawa sister nilitaka tuu ni confirm š¤Ni mimi bro
Haya ndo mambo yanayokuchelewesha kuwa tajiriHuyo mganga naye ni tajiri?
Nikifanikiwa nitakuzawadia Rolls royce 3, na dola milioni mojaUkifanikiwa uniite
Huyu si sasa hivi ni dereva wa malori na juzi aliandamana??Nenda kwa Mwandulami
utakuwa umefanya lamaana nakuombea kuku ale mahindi mpaka ashibe mganga achanginyikiweNikifanikiwa nitakuzawadia Rolls royce 3, na dola milioni moja
Wakikuwahi hapo inakuwaje?Mm naona nzuri ni ya kutoa nduguš
Sikuhz ndugu wamekuwa masnitch sana.
(Fukuzia hiyo, angarau utakula Bata kdg, kuliko hii ya kugawana umri na ibiris
Siyo matapeli, masharti ya Leo anataka kichwa cha Chivayo. Ule utajiri unakuwa wako in one day!Sio matapeli hao?
Inatafakarisha sana, mfano una miaka 20, kuku akameza punje 2 hapo inakuwaje?Hata kama ni jokes sio hivyo Utajiri wa nini sasa wakati miaka hiyo 74 nguvu za kiume huna.
Nikifanikiwa nitakugawia helkopta moja
Mashart utayaweza?Nikienda kutafuta utajiri wa punje za mahindi kama wanavyosema watu wa huko kusini, nitakuwa nimekosea?
Kwa miaka yangu hii 76, ata kuku akidonoa punje nne, nitakuwa na cha kupoteza?
Kwa sababu umasikini nilionao, unanifanya nadharaulika katika jamii, naonekana kama sijapambana kabisa katika kutafuta maisha, na nimekuja duniani kusindikiza wanao ishi.
Natamani niwe kama yule jamaa wa Rhodesia, niwe nawagawia wana jf magari bure ya kifahari, pamoja na noti.
Nipeni koneksheni wakuu, sitawaangusha.
View attachment 3684700
Kweli haya huwa yapo au ni simulizi tu?Mashart utayaweza?View attachment 3684792
Jombaa unashangaa Hilo,watu wana lala na maitiKweli haya huwa yapo au ni simulizi tu?
Ndo tafsiri ya ujanja kuwahi, Dunia uwanja wa vita, asiyekubali kushindwa sio mshindani zinakuwa proved hapošWakikuwahi hapo inakuwaje?