Nipe tofauti Kati ya hawa

Nipe tofauti Kati ya hawa

Malaya
Mwanamke aliekua na mwanaume zaidi ya mmoja

Changudoa
Wale wanaojipanga barabarani Kwa mafungu, buku 5 unapiga

Kahaba
Wale wanaojiuza na kupost video zao kwenye Mitandao bila kuficha hata Sura,
Tofauti ni bei, ww ndo uchague unataka KAWAIDA, VIP au VVIP...
 
Malaya
Mwanamke aliekua na mwanaume zaidi ya mmoja
Malaya ni yule anayefanya kwa passion ili kuenjoy tu.
Changudoa
Wale wanaojipanga barabarani Kwa mafungu, buku 5 unapiga
Changu doa ni yule anafanya ili kujipatia kipato,yani ameugeuza mwili wake kua bidhaa.
Kahaba
Wale wanaojiuza na kupost video zao kwenye Mitandao bila kuficha hata Sura,
Kahaba yeye ana fit pote pote kwenye hizo rank hapo juu.
 
Malaya
Mwanamke aliekua na mwanaume zaidi ya mmoja

Changudoa
Wale wanaojipanga barabarani Kwa mafungu, buku 5 unapiga

Kahaba
Wale wanaojiuza na kupost video zao kwenye Mitandao bila kuficha hata Sura,
Tofauti yao ni Nikama tofauti ya POLISI,MGAMBO ,MWANAJESHI au kama MWIZI , TAPELI , JAMBAZI
 
Back
Top Bottom