under the same sun
Senior Member
- Jan 15, 2014
- 160
- 37
1;Kutimiza andiko la mungu? kwamba lazima uowe, uolewe? 2;Kuonyesha jamii ya kuwa unamiliki watoto? 3;Mapenzi tu umejikuta umeowa/umeolewa?
1;Kutimiza andiko la mungu? kwamba lazima uowe, uolewe? 2;Kuonyesha jamii ya kuwa unamiliki watoto? 3;Mapenzi tu umejikuta umeowa/umeolewa?
Kuwa na life partner,akupende umepende na kushirikiana nae mambo mengi ya kimaisha ,Kuanzisha a home,family na kukuza watoto(unless km hupendi watoto),to gain heshima kwa jamii na sense of achievement,..
Ila kiukweli yatakiwa kujipanga,usikurupuke
Niitwe mrs.....
watu8 Nawe toa sababu za kutokuwa na mke au mume...
Watu8 me ntajibu hold on!
Hivi kuna watu ambao hawapendi watoto?