MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,719
- 21,954
Vipi kuhusu spinachi?? Na hivi mnafu ni muda gani unavuna??Otesha mnafu
Bamia
Mchicha Wa gwasi
Nimependa hzo nkhokoMajani ya kunde, majani ya maboga (nkhoko)
Aisee...! Hilo neno (NKHOKO), limenikumbusha kwetu Handeni...!Majani ya kunde, majani ya maboga (nkhoko)
Chinise ni tofauti na spinachi?? Na je zinachukua muda gani mpaka kuvuna??Mchicha Chinese ila kwa kutegemea mvua lazima ufeli
Umeongopa.Mahindi
Lazima utakuwa mtu wa tanga...kama sio mzigua sijui...nkhoko tamu sana ikipata nazi..lolMajani ya kunde, majani ya maboga (nkhoko)
Nkhoko, bwache, kibwando, msunga na hombo we mwana.Lazima utakuwa mtu wa tanga...kama sio mzigua sijui...nkhoko tamu sana ikipata nazi..lol
Mbwawe lekaaa kuna msokomela,mpwimbwija na mnyago lekaaaaNkhoko, bwache, kibwando, msunga na hombo we mwana.
Haya wa kwetu....Hanginyue...Nkhoko, bwache, kibwando, msunga na hombo we mwana.
Waona vihi?Haya wa kwetu....Hanginyue...
Nahisi mnavu pia na mgagani umevisahau hapooNkhoko, bwache, kibwando, msunga na hombo we mwana.
Ntana bwawe..hangi weyeWaona vihi?