Nipe muda nikafikirie

Nipe muda nikafikirie

dah mi mgeni mtaa huu ingawa sijawahi kuambiwa nikafikiriwe
 
Hii ni kauli maarufu sana kutoka kwa akinadada mara baada ya kutongozwa na akinakaka. Wanajamvi tuelimishane,ni nini hasa ambacho hufikiriwa na akinadada kabla ya kukubali au kukataa kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi?

Hii hutolewa na wale walioko sekondari!

Vinginevyo unaulizwa una shi ngapi!
 
Sasa ndugu utongoze leo and if yes aseme leo leo..atajiona kawa mwepesi sana kwako hata kam anakupenda.pouzi muhimu lyk upewe siku kadhaa bt not dharau,hapa namaanisha katik hcho kipindi cha mpito asiwe lyk hajibu txt zako,kudharau colz zako bt if anakuvutia pumzi 2 aseme yes.
 
viumbe hawa wa ajabu mkuu; staki nataka nyingi
Hivi ikitokea mwanamke akikutongoza utakubali hapohapo au?tuanzie hapo sisi sote wanaume,jenga taswira anaeleza hisia zake kwako kuwa anakupenda na amevumilia sana hadi ameamua kukwambia.TUANZIE HAPA MDAU
 
Hii ni kauli maarufu sana kutoka kwa akinadada mara baada ya kutongozwa na akinakaka. Wanajamvi tuelimishane,ni nini hasa ambacho hufikiriwa na akinadada kabla ya kukubali au kukataa kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi?

Kwa hiyo unataka umtongoze saa 4 asubuhi mpeane mawasiliano, saa 8 nchana umwombe mtoke dinner jioni saa 1 na vimywaji kisha saa 3 usiku mko 6x6. Yote hayo katika ukurasa mmoja wa diary? Kisha kesho unakuja na thread: "Wanawake kwa nini siku hizi mnajirahisi sana?"
 
Yepi hayo..??? Halafu huwa nashangaa wakati mwingine huwa mnakubali huku mnaendelea kufikiria... Au wakati mwingine mnakataa katakata huku bado mnaendelea kufikiri...

kama ni No ni No kama ni Yes ni Yes

haya mambo ya kusema ngoja nokafikirie sa sijui unaenda kufikiria vinini hasa
 
Mkuu ushawahi kuona wapi ukipeleka maombi ya kazi unaajiriwa pasipo kupitia usahili au walau hata wasifu wako kutazamwa kidogo?

Si jambo rahisi kama mnavyofikiri, namna ubongo wa mwanamke utendavyo kazi si kama sisi wanaume.

Wakati mwanaume hupenda kwanza kupitia maumbile, mwanamke huanza na hisia halafu maumbile baadaye.

Jambo lolote linalohusisha hisia huitaji tafakari ya kina na kumbuka hapo si wewe pekee uliyemtongoza bali kuna wanaume wengine kibao wapo kwa queue.
Ni kweli mkuu watu8;8835870. Men love out of sex and women sex out of love.
 
kama ni No ni No kama ni Yes ni Yes

haya mambo ya kusema ngoja nokafikirie sa sijui unaenda kufikiria vinini hasa

Ukisema yes na jamaa akataka kula mzigo siku hiyo hiyo unamwambiaje au unampa? Tuseme uko safi kiafya na haupo period wala hauko busy na lolote.
 
Achilia mapenzi, hivi maisha haya ni kipi utakurupuka tu kukifanya bila kufikiria?
 
ukiwa na TEMBO Card Master Card wala hautaambiwa ukafikiriwe ..........
 
Kwa hiyo unataka umtongoze saa 4 asubuhi mpeane mawasiliano, saa 8 nchana umwombe mtoke dinner jioni saa 1 na vimywaji kisha saa 3 usiku mko 6x6. Yote hayo katika ukurasa mmoja wa diary? Kisha kesho unakuja na thread: "Wanawake kwa nini siku hizi mnajirahisi sana?"

Nakushukuru....
 
Hii kauli siipendiii! unanifikiria nn hasa? au unaanza kumfikiria wako wa zamani na mm nani atakuwa juu ktk game? we kubali mapema uanze kuzitumia mapema kabla sijabadilika.
 
Back
Top Bottom