Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
viumbe hawa wa ajabu mkuu; staki nataka nyingi
Hata wewe ni wa ajabu mno
viumbe hawa wa ajabu mkuu; staki nataka nyingi
njo pm chap chap, nna hamu ya kutongozana... ila utanipa muda nifikirie eeeh?
Mbona nishatangulia PM na sikuoni?
Hapo kwenye kufikiria ndio tatizo
Mi nataka leoleo unanipa jibu na papuchi unanipa kesho!
mweeeeh!!
umeniwahi nilichotaka kusema sis wanawke lazima tufikirieMkuu ushawahi kuona wapi ukipeleka maombi ya kazi unaajiriwa pasipo kupitia usahili au walau hata wasifu wako kutazamwa kidogo?
Si jambo rahisi kama mnavyofikiri, namna ubongo wa mwanamke utendavyo kazi si kama sisi wanaume.
Wakati mwanaume hupenda kwanza kupitia maumbile, mwanamke huanza na hisia halafu maumbile baadaye.
Jambo lolote linalohusisha hisia huitaji tafakari ya kina na kumbuka hapo si wewe pekee uliyemtongoza bali kuna wanaume wengine kibao wapo kwa queue.
Ukisikia ngoja nikafikirie.......tayari mtu analo jibu tayari.......ni kwamba unaangaliwa uko........(some words are missing).........kiasi gani.......
aaaahh,,.... mmmh... hamna kitu baba parokoKulikoni mrembo?
bahili
Ha ha.....shostito.......una hakika hiyo ndio word iliyomiss.......???....shauri yako.......
hiyo ni biashara sasa, huwezi kumzunguusha. ufikirie umpoteze mteja?Kauli hii madada huwa wanatoa kama bado unatongoza kwa njia ya kizamani ya "kuimbisha songi"
Lkn kama utaongea nae leo vyema,kesho ukaenda na zawadi yake ya Iphone 5s na kesho kutwa umemjazia salio la mwezi mzima kwenye simu yake na jioni yake unampa kabahasha ka kaki kuchungulia wamejaa "wekundu wa Msimbazi" unahisi bado atakuambia ngoja nikafikirie?
THUBUTU!
kwako wewe ndio hilo hilo, angekuwa mwingine ningemwekea neno lake. lol
Bila ya kuliona,kufikiria kwako kutasaidia nini?Lazima ufikirie unaweza kutana na bonge la tango ikawa shida kulizoeaa banaa
nipe muda nifikirie ntarudi ku comment.
Bila ya kuliona,kufikiria kwako kutasaidia nini?
Hiyo kitu ni 'elastic' ha ha ha ha ha ha haHilo la kwanzaa kufikiri tusije haribiana nyuchi buree,pia muonekano wake,anavyoongea lazima ukafikirieee