Nipe muda nikafikirie

Nipe muda nikafikirie

Mimi akisema Ndio on the spot sirudi tena... Maisha ya sasa si wanawake tu wa kufikiria hayo makitu, hata sisi hatutakiwi kukurupuka kwa maisha ya sasa.
 
Hivi unajua kwamba nakupendaga sana?

Yaani usiku silali nakuwaza wewe tu
Nikinywa maji nakuona kwenye jagi

Yaani wewe unanimaliza kabisa
Tafadhani likubalie uwe mupenzi wangu ....lol!!!!!!

Mpe muda afikirie
 
Hivi unajua kwamba nakupendaga sana?

Yaani usiku silali nakuwaza wewe tu
Nikinywa maji nakuona kwenye jagi

Yaani wewe unanimaliza kabisa
Tafadhani likubalie uwe mupenzi wangu ....lol!!!!!!

Mpe muda afikiriee
 
Wengine huwa hawajielewi...wanapenda kukuona unahangaika tu.

Nilishawahi kumsotea mtu mwaka mzima,nilipoamua kuanza mahusiano mengine eti ndiyo akanikubali wakati nilishabadili ukurasa...hii ndiyo husababishwa wengi wao kuchezewa(kuwa-played around)...anakuja kukubali when it's too late,uchu na hitaji lote la mwanzo limeshatoka na kubaki hasira za malipizi tu.
 
hivi unajua kwamba nakupendaga sana?

Yaani usiku silali nakuwaza wewe tu
nikinywa maji nakuona kwenye jagi

yaani wewe unanimaliza kabisa
tafadhani likubalie uwe mupenzi wangu ....lol!!!!!!

ww askofu unafanya nn humu si ukahubir din bwanaa
 
problem here si kukubali ni watu kutokujua wanahitaji nini?
umevutiwa na ninj?
if someone accept u on spot its nice kuzungushana ya nini bad thing enough demu anakuzungusha miezi lakin kama ni malaya ni tabia yake its cana not change any thing.... if u fil some one and your sure just say yes.....
miaka 52 ya uhuru bado kuzungushana kwenye kutongozana utakuwa huna kazi ya kufanya
 
Kauli hii madada huwa wanatoa kama bado unatongoza kwa njia ya kizamani ya "kuimbisha songi"

Lkn kama utaongea nae leo vyema,kesho ukaenda na zawadi yake ya Iphone 5s na kesho kutwa umemjazia salio la mwezi mzima kwenye simu yake na jioni yake unampa kabahasha ka kaki kuchungulia wamejaa "wekundu wa Msimbazi" unahisi bado atakuambia ngoja nikafikirie?

THUBUTU!

dah! umenifurahisha
 
problem here si kukubali ni watu kutokujua wanahitaji nini?
umevutiwa na ninj?
if someone accept u on stop its nice kuzungushana ya nini bad thing enough demu anakuzungusha miezi lakin kama ni malaya ni tabia yake its cana not change any thing.... if u fil some one and your sure just say yes.....
miaka 52 ya uhuru bado kuzungushana kwenye kutongozana utakuwa huna kazi ya kufanya

Tutaliingiza kwenye katiba mpya, release of an offer and it's acceptance lazima viwe in specified terms!
 
ah......haya mambo kwani siku hizi kuna kufikiria? si wanakubali hapo hapo!
 
tunafikiria tu kama wewe ni mtu sahihi na utayari wa kuingia katika hayo mahusiano. mara nyingine tunahitaji kuwafahamu japo kidogo, kuona kama tunaweza endana ama au tutashindwana kabla hatujaanza mahusiano rasmi.

Kumbe ndiyo maana mnawaacha wapenzi wenu!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hahahahahhhaaaaa sina exeperience ya ushuzi, ngoja nifanye research....hahhahhhaha nimecheka asubuhi asubuhi
ila siku hizi mna haraka kama ushuzi, hamna subira hata kidogo. mie nikiona una haraka sana najua hunifai. kuku wako manati ya nini? subiri aingie bandani umkamate kiulaini.
 
ila siku hizi mna haraka kama ushuzi, hamna subira hata kidogo. mie nikiona una haraka sana najua hunifai. kuku wako manati ya nini? subiri aingie bandani umkamate kiulaini.

........hahahahaaaaaaa.......tatizo kunguru wengi,,,,ghafla kunguru kamhamisha..........
 
Back
Top Bottom