Nipe mkono...

Nipe mkono...

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
IMG_20211120_105033.jpg
 
Kwa mujibu wa Harmonize Diamond alimwambia Harmonize hamuwezi kiserikali, kipesa na kiuchawi na kama anabisha ammpe mkono washindane, kwa mujibu wa wataalamu kama angempa mkono ndio ingekuwa mwisho wake wa kusikika mwanamuziki 🐒View attachment 2018546
Yaani angemfanyia uchawi?? Kumbe kupeana mikono ni risk sometimes aisee🤔 nimeelewa sasa. Thank you
 
Yeuwii kumbe, kijinini kwetu kusalimiana bila kupeana mikono ni shughuli unaonekana na dhereu sana, ila sasa siku watakuja kuiba nyota kumbe nyota yenyewe ya punda , haina mafanikio watajuta
Hahaha, nyota ya punda inaonekana unabeba sana mizigo. Wengine walikuaga wanatumia kipengele Cha kutakiana amani kanisani kuiba nyota, Bora saivi tuna bow to each other
 
Yaani angemfanyia uchawi?? Kumbe kupeana mikono ni risk sometimes aisee🤔 nimeelewa sasa. Thank you
Hiyo imenikumbusha kule kwetu miaka 80 kulikuwa na mfanyabiashara ya kununua na kuuza ng'ombe alikuwa hatoi mkono wake kwa ajili ya kusalimiana. Ukimpelekea mkono wako yeye hatoi mkono wake.
 
Back
Top Bottom