donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
- Thread starter
- #21
Wape mkuuWatashindwa kwa Jina la Yesu, mimi nawapa tu.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Wape mkuuWatashindwa kwa Jina la Yesu, mimi nawapa tu.
kwahiyo dogo alifanya makosa sana kumpa mkono wote, aangalie mwenzie kiba alichofanya.
Hahaha, well explainedhuniwezi kiserikali (that means anaamini serikali ameiweka mfukoni), huniwezi kipesa (anaamini pesa itafanya chochote), huniwezi kiuchawi (kumbe huwa hawamsingizii kuwa ni mchawi na free mason, nipe mkoni kama huamini.
We unasema Nyota ya Punda haina kazi wakati mwenye Nyota hiyo akifungua kampuni ya usafirishaji eidha abiria ama mizigo ndio anafanikiwa zaidi kuliko wengine...Yeuwii kumbe, kijinini kwetu kusalimiana bila kupeana mikono ni shughuli unaonekana na dhereu sana, ila sasa siku watakuja kuiba nyota kumbe nyota yenyewe ya punda , haina mafanikio watajuta😀