Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,073
- 1,563
Habari wakuu.
Kweli tunapambana wala hatukati tamaa ya Maisha sababu tayari familia tumeanzisha.
UBER/BOLT
Kama unagari yako kuanzia namba (EA) ambayo huifanyii matumizi yako binafsi mara Kwa mara basi naomba nipe mkataba wa miaka MIWILI kila wiki nikuwekee 150000 (Laki moja na Hamsini) basi naomba tufanye Kazi.
Gari ziwe kati ya moja wapo hapa.
Toyota IST cc 1290
Toyota Vits piston 4 kuanzia iwe new model.
Sikutaka kuweka vigezo vya Gari mpya sababu wengi wetu kununua Gari mpya sababu ya Uber/bolt ni ngumu Sana. Lakini Gari kuanzia namba E wengi wenu mnazo.
Kigezo iwe namba E ili nikimaliza mkataba na Wewe boss wangu basi kidogo Gari iwe na Hali nzuri.
Nipigie simu 0754693556
Vits kama hii 👇