No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,378
- 13,446
Tafuta wewe ununue hyo bmw...unataka exchange ya nnTutafute hela.
Tafuta wewe ununue hyo bmw...unataka exchange ya nnTutafute hela.
Aisee umeanza kuingilia uhuru wake binafsi, your not fair..Tafuta wewe ununue hyo bmw...unataka exchange ya nn
Hii crib ndiyo upaki BMW X5? Unapenda makubwa kijana wakati uwezo huna. Unajua gharama na usumbufu wa kumiliki BMW?Serious business tuwasiliane inbox. Nipe BMW X3 au X5 nikuachie chuma hiko nipo Dar es salaam Ubungo.
View attachment 2056023View attachment 2056025View attachment 2056026
Namudu V8 Landcruiser Amazon sembuse hiyo X5...by the way mi mwenyewe fundi...exchange kama unayo I'll top up pesa hapa sio tatizo, nakwepa hassles za importation COVID imesababisha muda wa importation ya gari kuwa hadi miezi mitatu au minne else I'll have to import. I'm not broke ndugu.Hii crib ndiyo upaki BMW X5? Unapenda makubwa kijana wakati uwezo huna. Unajua gharama na usumbufu wa kumiliki BMW?
Aisee umeanza kuingilia uhuru wake binafsi, your not fair..
nimebaki kushangaa tu..yan hatari sana waTzWanted to say that too
Watanzania tuna shida sana unaulizwa A unajibu W
Pathetic!
nimebaki kushangaa tu..yan hatari sana waTz
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tafuta wewe ununue hyo bmw...unataka exchange ya nn
Happy new year kwako pia, God bless you...May all your plans get executed as you planned.Ndio tulivyo
Anyway happy new year mkuu