NIPASHE Wamshukia mbunge Madabida (CCM)

NIPASHE Wamshukia mbunge Madabida (CCM)

Mbona nipashe wamemchana Madabida kupitiliza...?
Sijui kama na leo atapata ujasiri nguvu hata za kunyanyua gazeti hilo!
 
Gazeti la Nipashe au lingine lo lote lile halihitaji kumuomba mtu awaye yeyote ruhusa ya kuripoti habari zinazohusu jamii, hasa inapokuwa ni suala la afya ya jamii. Nipashe itaendelea kuwa ni Mwanga wa Jamii ni si vinginevyo,
 
Dawa ya Watu kama hawa inakuja , ni kufuta VITI MAALUM , kwa mfano Zarina hana uwezo wa kushinda ubunge hata ndani ya familia yake , Sembuse Jimbo ? Thubutu yake ! Amuulize Mumewe kilichompata Lindi 2010 !

2015 hana chake
 
madabida....hafai kuwa kiongozi...ni mfanya biashara mlaghai.....na tapel mkubwa.....hasa staha.....
 
NIPASHE kamwe msiwajali watu kama akina Zarina Madabida. Kuweni wakweli siku zote, andikeni ukweli siku zote kwa sababu KWELI NDIYO INAYOMWEKA MTU HURU!! Huyo mama amezungukwa na maovu kibao, anateseka kwelikweli na wao kama viongozi tena wa chama tawala wamezoea kuishi kwa deal za ujanjaujanja kwa gharama za wanyonge!!

Anapotokea mtu au chombo cha habari kinagusa deal zao, matokeo yake ni haya wanawaka ile mbaya na kukuona wewe unayekosoa mwenendo na matendo yao ni adui. Katika hili jambo zuri ni moja kuwa hawana ubavu wa kupeleka malalamiko yao katika chombo huru cha kisheria ili wapate haki yao ya kuonewa/kusemwa/kuandikwa kwa uongo. Ndiyo maana hana hata habari kuwa kuna eneo la kupeleleka malalamiko yako dhidi ya chombo chochote cha habari kwa kuandika kwa kumchafua mtu au taasisi yoyote i.e mahakamani au (MCT?) nk

Lakini kina Madabida wameona Bunge ni forum sahihi ya kusafishia uchafu wao,jambo ambalo sio sahihi kwa sbb ndo tu wamewasha moto. Ona sasa, mimi hata nilikuwa sijui kuwa TPI ya kina Madabida wanahusika na uuzaji wa sukari fake achilia mbali ARV ambalo kila mtu na karibu kila m-tz anajua!!

Mtu anayeongea kwa kujaribu kuficha ukweli utamjua tu. Zarina wakati anachangia bungeni huku akijaribu kujisafisha kwa kulituhumu gazeti la NIPASHE wakati huohuo akiikataa bajeti ya serikali yake chini ya CCM chama chake!!. Hapo hakuwa smart, alijichanganya na kuwachanganya hata wenzake,wana CCM kwa sababu ni wazi hawakumwelewa!!

NIPASHE keep on going........FORGET MADABIDAS.......THEY WILL NEVER STOP YOU...THEY WILL NEVER STOP THE TRUTH UNLESS THEY FACE AND ACCEPT IT....BECAUSE THE TRUTH WILL SET ANYONE FREE!!.
 
Huyo mbunge si angeenda kuwasafisha watu wake huko huko mahakamani ambapo kesi ishafunguliwa!
 
Huyu anamcheze Kamanda Jesse!!! Nashangaa sana kuona hadi sasa Jesse ametulia kana kwamba mashambulizi haya yalikuwa kama kutekenywa sharubu! Huu ndiyo wakati wa kuchimbua maovu katika Taifa hili. Toeni dozi kama ile ya waliotaka wauziwe nyumba Upanga!! Tangu kombora hilo lilipuliwe, kina Mzee Gwao ambao walikuwa mawakala, wamezimika!! Keep It Up!
 
Kwamba huyun fisadi aliyenufaika kwa kuwauzia ARV fake watanzania anaweza kusimama mbele ya bunge na kujaribu kujisafisha kwa kashfa ambazo amezitaka mwenyewe.

Hata kama nipashe wasingetoa ufafanuzi wa suala hili lakini watanzania wanafahamu kwamba kiwanda chao cha TPI kimefungwa kwa sababu ya kutengeneza ARV fake na pia wamefunguliwa mashtaka ya kuhifadhi/kutu

mia sukari mbovu kwa ajili ya kutengenezea madawa kinyume na sheria.

Na washauri waathirika waliowahi kutumia Dawa hizo Feki kuifungulia Kesi Serikali na Kampuni husika kwa kuwapunguzia maisha na kuziathiri zaidi Afya zao.
Kesi kama hiyo itakuwa fundisho kwa siku za usoni. Wanasheria ebu jaribuni kuisaidia Jamii katika mambo kama haya.
 
Chunguzeni mnaweza kuta bunge ni kichaka cha wabunge wa CCM na maovu yao kwa taifa hili.

Hawa wakina Madabida wanatumia ubunge na uongozi ndani ya ccm kama kichaka cha kuficha uovu wao ;sio hayo ya fake ARVs na sukari mbovu tu bali hata madeni ya mikopo kama ya Commodity Import support na deni la kiwanda chao walipokopa iliyokuwa PSRC!!!
 
keshatuulia ndugu zetu leo hii anajidai hapa... watu kama hawa nashangaa kwnini hawako vyama pinzani wako CCM tu kuna nini hapa jamani?? khaaah
 
Tufikie mahali tuamue kwa usahihi aina ya wabunge tunawachagua

Huyu hajachaguliwa na mtu, kateuliwa na washikaji wenzake tu apate mahali pa kupumulia. Ndio maana wale viti maalumu wangepewa viti maalumu vya kukaa kutofautisha na walioletwa na wananchi, japo wengine walilazimisha kama yule wa kwetu shinyanga mjini,
 
Yaani hunyu ni miongoni mwa waliohusika kuondoa ROHO ya DADA yangu kipenzi na utengenzaji wa dawa feki za ARV's?!!!
Na ahukumiwe kwa adhabu anayostahiki DUNIANI na MBINGUNI.
 
Kiukweli niliduwaa kumsikia mbunge yule akitumia muda mwingi kutukana gazeti kwa uwongo ambao mimi binafsi sikuuelwa, kumbe maslahi yake yaliguswa. Pole Madabida.
Hata binti yangu wa miaka kumi niliyekuwa naangalia naye bunge alimdharau sana mama yule. Hakika hakuchangia kitu chochote kuboresha bajeti ya wizara ya afya. Alichofanya ni kulishambulia na kulibeza Nipashe na pamoja na kwamba hakutaja moja kwa moja anaamini Nipashe linawakilisha adui na tishio kubwa la CCM, yaani CHADEMA. Swali langu la msingi: Madabida anamuwakilisha nani bungeni?
 
Hivi hii nchi imelaaniwa au? Yaan natamani hadi kulia lkn machozi yanagoma kutoka! Mungu hebu shuka haraka uje uhukumu,maana tumechoka.Na ninyi wang'oa kucha na meno hamuwaoni hawa akina Madabida?-Hawa ndo wakuwang'oa kucha zao.
 
Hata binti yangu wa miaka kumi niliyekuwa naangalia naye bunge alimdharau sana mama yule. Hakika hakuchangia kitu chochote kuboresha bajeti ya wizara ya afya. Alichofanya ni kulishambulia na kulibeza Nipashe na pamoja na kwamba hakutaja moja kwa moja anaamini Nipashe linawakilisha adui na tishio kubwa la CCM, yaani CHADEMA. Swali langu la msingi: Madabida anamuwakilisha nani bungeni?
Mkuu kama utaniruhusu, naomba nimjibie. Yuko hapo kuwakilisha tumbo lake.
 
Aliyetoa wazo la kuwepo kwa viti maalumu hakuwaza vizuri. Huo umaalumu hasa ni upi?
 
Hivi tz tunahitaji kashfa gani ili mtu awajibike? Mtu katengeneza ARV feki lkn bado yupo madarakani chamani&serikalini
 
Kwa magamba! Chama chenu cha Ccm kinakosa hadhi na kuchungulia kaburi kwa sababu ya watu kama hawa akina Madabida, hivi hamuwaoni? mimi huwa nashangaa sana ccm kila kukicha chadema lakini watu kama hawa kwao ni lulu ndiyo mjue ni nini hasa manachokitetea je ni watu au masilahi yenu! halafu mnataka watu wawapende kwa lipi mshindwe!
 
Madabida anagombana na kivuli chake... nani asiyejua kwamba waliingia CCM kwa ajili ya kuficha madhambi yao na walikuwa wanajiaamni sana kwamba wako juu ya sheia.. kwa hali yoyote madabida na wengine wafahamu wazi kwamba watanzania wako macho sasa hivi na hakuna ujanja wowote wa kuwadanganya...
 
Back
Top Bottom