nionavyo mm wewe je?

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
mi nadhan hapa JF pangekua km member akiwa online inaonekana.....pia ingewezeshwa hata ile active chat.just mawazo,we unaonaje.
 
Mbona ipo tu hiyo au hujaiona? Peleka casa kwenye id ya mtu bila kufanya lolote na itakueleza yaser is now online. ile chat room iliwahi kuwepo hapa ila ikawa inamaliza bandwidth (nafasi) ya jamvi, wakuu wakaamua kuiondoa! Labda kama unashauri irudishwe!
 
Last edited by a moderator:
nakuona uko online angalia jina lako utaona alama ya mtu iko na rangi ya kijani
mi nadhan hapa JF pangekua km member akiwa online inaonekana.....pia ingewezeshwa hata ile active chat.just mawazo,we unaonaje.
 
Back
Top Bottom