Nionavyo mimi Nape ni Katibu Mkuu Mtarajiwa wa CCM

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,582
2,783
Nimesoma Nyakati na wakati nikaona haya. Nape atakuwa Katibu Mkuu wa CCM wakati wa Mungu utakapo wadia.

Najua wengi watabisha ila ndo ukweli mchungu.

Nimejifunza sana kwa JPM, Malima ndo huyo kala shavu pamoja na kuonekana yuko kinyume.
 
Naona itakuwa mshamuomba asiondoke na mtamgaia hicho cheo ili kuwazuia na wengine wanaotaka kufuata nyayo za Nyalandu!!!
 
Mmeona wanataka kukimbia wote Ndio mnataka kuwabembeleza na vyeo?
 
Nimesoma Nyakati na wakati nikaona haya. Nape atakuwa Katibu Mkuu wa CCM wakati wa Mungu utakapo wadia.

Najua wengi watabisha ila ndo ukweli mchungu.

Nimejifunza sana kwa JPM, Malima ndo huyo kala shavu pamoja na kuonekana yuko kinyume.
Umeonaje
 
Back
Top Bottom