Nionavyo mimi juu ya CCM Academia!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nionavyo mimi juu ya CCM Academia!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KakaKiiza, May 13, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Sijambo la kushangaza wala kujiuliza!ila tuendapo kuna kuja ccm academia,Kujivua gamba akutasaidia kuziba ufa uliopo!Sisi wakulima tunajua nyoka akijivua gamba anakuwa mkali zaidi na sumu kali!Nawambia CCM Academy aikwepeki naiko njiani!& Na anayeipalilia kwakuweka mafuta ni hiyu kada mgeni!
   
 2. T

  Tiote Senior Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wishful thinking! Hivi unadhani ni nani kati ya mafisadi anayeweza kuwa na uthubutu wa kuhama na kuanzisha hiyo Academia yako? Au nyie ndo wale waliopangwa kuleta scare politics ili hatua zisichukuliwe? Mnajidanganya sana na ni vizuri ukawaambia kwamba kiberiti kimejaa ile mbaya.
   
Loading...