Niombeeni nipate MUME

Safi sanaa.

Umekumbuka wapi?

una Becky wako na weye?

Ni wimbo wa Kenny Rogers. My good old man (RIP) alikua nyimbo zake hizi kila Jumamosi. Made my childhood.

Binafsi ninaye Becky nimemuweka ndani mwaka wa nne huu
 
Ni wimbo wa Kenny Rogers. My good old man (RIP) alikua nyimbo zake hizi kila Jumamosi. Made my childhood.

Binafsi ninaye Becky nimemuweka ndani mwaka wa nne huu
May God continue to rest the Good Ol' Man in perfect peace.

Cheers to your Becky.
 
Mungu atajaalia utapata mume mwenye heri nawewe sista. Especially awe closed na Mungu huyo ndiye atakufaa. Na usiangalie Mwenye hela, hata awe masikini it's okay ilimradi awe closed na Mungu,mtaishi maisha ya amani na upendo.
 
Kwamba hautongozwi kabisa au una shida gani mpaka uje mitandaoni kutafuta mtu haujuani nae???

Ukiombwa namba we gawa ndio ushatongozwa bibie kama una mambo ya kizamani ukisalimiwa haujibu sasa uanze kujibu mwanaume hatoki from nowhere unaishi nao kila siku they are everywhere ni wewe tu kuamua.

Pia usibanie mbunye sana we igawe atatokea atakayeipenda akaamua kuweka kambi ndio unakuwa ushapata mume hivyo sasa we subiri mpaka uolewe.

Wengine tulijikuta tumeoa baada ya mtu kusema ana mimba ikabidi kuamua kuacha uhuni💪🏽 Mara nyingi mwanamke ndio humpa sababu mwanaume ya kuoa hakunaga mwanaume anawish kuoa ni baada ya kuona unafaa ndio unamshawishi Ila hakunaga mwanaume anakaa anasema I wish nipe demu wa aina fulani, never.
 
Poleni na majukumu

Naomba mniombee nipate mahusiano ya kunitenganisha na MUNGU tu nioombeni nipate MUME sikupenda kuwa single ila MUNGU anakusudio lake[emoji17],Maombi yenu plz
Mungu akusaidie dada...ila kama kuna mtu naomba anisaidie hivi ni kwa nini wanawake wanachukulia swala la kuolewa kama ugonjwa au ishu kubwa sana kuliko sisi wanaume nataka nilinganishe na majibu niliyonayo
 
Mungu atajaalia utapata mume mwenye heri nawewe sista. Especially awe closed na Mungu huyo ndiye atakufaa. Na usiangalie Mwenye hela, hata awe masikini it's okay ilimradi awe closed na Mungu,mtaishi maisha ya amani na upendo.
Uishi daima tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…