Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,871
- 7,610
comedown mkuu mbona kama umepanicWanawake mnafeli padogo sana.
Unakuta jitu linatafta mume mtandaon lkn wanaume wakilifata inbox halirespond good wala kujibu sms za wanaume, hapo unabaki kujiuliza hiv huyu alikuwa akimaanisha alichokipost??.
Mim nataka wanaume humu walio single pelekeni CV zenu kwenye DM ya huyu mtoa mada alafu yeye amchague atakae kidhi vigezo vyake, then atakayekubaliwa arudishe mrejesho hapa ili tuone usiriazi wa hawa viumbe.
Ole wake awapuuze asee nitafanya kila niwezalo kumjua huyu mtoa mada na nitaweka siri zake zote humu JF ili iwe funzo na komesho kwa wanawake wote wanaoleta Utani JF...
Mkuu mbona umekuwa mkali sana! Umemfata muhusika DM haku respond? Wengi kama hawa respond haimaanishi ni wote, calm down blazaWanawake mnafeli padogo sana.
Unakuta jitu linatafta mume mtandaon lkn wanaume wakilifata inbox halirespond good wala kujibu sms za wanaume, hapo unabaki kujiuliza hiv huyu alikuwa akimaanisha alichokipost??.
Mim nataka wanaume humu walio single pelekeni CV zenu kwenye DM ya huyu mtoa mada alafu yeye amchague atakae kidhi vigezo vyake, then atakayekubaliwa arudishe mrejesho hapa ili tuone usiriazi wa hawa viumbe.
Ole wake awapuuze asee nitafanya kila niwezalo kumjua huyu mtoa mada na nitaweka siri zake zote humu JF ili iwe funzo na komesho kwa wanawake wote wanaoleta Utani JF...
Huu ushauri wako umekuja kwa kuchelewa SanaMume hatafutwi kwa papara hizo my dear Coletha.
Upweke unakera, unauma but kama ni mume huwezi kuwa desperate ever.
Ukiwa desperate utakutana na tuchokoraa tu na sio waume.
Take your time. Guard your morals na usali sana.
Mwenye uume mkubwa unamtaka?Poleni na majukumu
Naomba mniombee nipate mahusiano ya kunitenganisha na MUNGU tu nioombeni nipate MUME sikupenda kuwa single ila MUNGU anakusudio lake[emoji17],Maombi yenu plz
Njoo PMPoleni na majukumu
Naomba mniombee nipate mahusiano ya kunitenganisha na MUNGU tu nioombeni nipate MUME sikupenda kuwa single ila MUNGU anakusudio lake[emoji17],Maombi yenu plz
Kwa nini Kaka Pembe?Huu ushauri wako umekuja kwa kuchelewa Sana
Sijamuoa ila ukweli ni kwamba hatapata maana muda ameuchezea mno. Labda iwepo sababu nyingineKwa nini Kaka Pembe?
Ushamuoa?
Unaongea ukiwa umekaimu nafasi ipi?Sijamuoa ila ukweli ni kwamba hatapata maana muda ameuchezea mno. Labda iwepo sababu nyingine
Ondoa hiyo mindset.
There is someone for everyone, regardless of age.
Safi sanaa."There's someone for everyone, and Tommy's love was Becky"
Madam comment yako imenikumbusha mbali sana..
Asante, kitaalamu wewe unaitwa XAVI.Wanawake mnafeli padogo sana.