Stephen Shayo
Member
- Nov 13, 2012
- 55
- 11
khaaaaa!!!!! hivi wanawake na pesa kutoka kwa wanaume ni nini hasa?........... tena kama hapo wewe utakuta ni mfanyakazi au mfanyabiashara mwenye kipato cha kutosha tu...........
Unaonaje ukimpatia njia hiyo uliyoitumia ili naye aijaribu kama itamsaidia!hahaha Husninyo banah! Hii ilishanitokea yan unakua kwenye tendo kabisa ila sura ya mwanaume ndo inakua haionekani..ila mimi njia niliyotumia kukabiliana na hyo hali ni tofauti kidogo.....anyway Mungu akulinde..
Ushauri mzuri! Lakini suala si kuokoka ili kupokea deliverance pekee, bali ni kumwamini YESU KRISTO na kudumu naye hata kama uponyaji utachelewa!Pole ndugu yangu. Tatizo lako ni dogo kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Tuache ubishi wa dini bali mtafute Yesu akusaidie. Unateseka na tatizo lako licha ya dini uliyonayo. Wewe unasumbuliwe na jini mahaba au spiritual husband.
Mimi nipo pale Efatha DSM, wenye matatizo kama yako wengi wamefunguliwa. UKIOKOKA YOTE HAYO NI HISTORIA KWANI IBILISI HATAKUSOGELEA UKIKAA KWENYE NENO LA MUNGU. Ukitaka msaada zaidi unaweza kuni PM.
Pesa ya kupewa na mwanaume ina raha yake.
Raha yake ni zaidi ya binadamu
..ukitazama kwa miaka yote hiyo mitatu utajikuta umepoteza fursa nyingi, na mambo yako hayaendi vyema na zaidi huenda hata amani kupotea kwa kutokuwepo kwa mahusiano yenye furaha baina yako na ndugu, jamaa, au rafiki..hiyo kitu ni mzigo tena ndo inayofifisha maono na ndoto zako..ushauri nenda kanisa la karibu waeleze kila kitu utafanyiwa maombi na kupona nikamaanisha utamwona mwanaume kama rafiki na sio anayetisha na mambo yako kuwa safi kabisa..
pole sana dada,hilo ni pepo kabisaa (spiritual husband),lina madhara mengi sana
kwanza hutaolewa na hata kama utaolewa hutapata amani kwenye ndoa yako sababu limechukua nafasi ya mume wako
pili mapepo kazi yao ni uharibifu,kwahiyo hali yako ya uchumi itaharibika,furaha yako,afya yako na pia linaweza kukuua
naomba nikushauri kitu kimoja,mambo ya rohoni yanatambulikana kwa jinsi ya rohoni hivyo tafuta kanisa ambalo ni la kiroho na uende huko utapata msaada.wewe mwenyewe huwezi kulitoa kwa sababu hilo pepo lina nguvu zaidi yako na ndio maana linakumiliki.
MUNGU ndiye awezae kukusaidia sasa tafuta sehemu ambayo nguvu ya mungu ipo maana yeye ana nguvu kuliko hilo pepo.
napendekeza uende efatha ministry maana pale nimeona nguvu ya mungu
kwanza nikutie moyo kwamba ushindi upo.
pili,jini/pepo huingia ndani yako kutokana na uhalali ambao wewe mwenyewe au wazazi wako au mabubu zako waliotoa kwa kujua au kutokujua..mf kuomba mtoto kwa mizimu,kutolewa kwa waganga, au kuangalia picha za ngono, kujichua..kufanya mapenzi on webcam na hasa mtu usiyemfahamu,kushiriki ngono na maagent wa kuzimu n.k
yapo madhara ya kuwa na mahusiano na majini mahaba kama..
itakuwa ngumu sana kuolewa au kudumu kwenye ndoa au kuzaa,na utakuwa unaishi double life..ujinini na duniani..na misheni ya pepo ni kuharibu na kuiba maisha yako.
SOLUTION.
Kwanza ichukie hiyo hali wala usiifurahie.
Mpe YESU KRISTO maisha yako.
Kama hutafunguliwa instantily,hudhuria shule ya ukombozi ambapo utajifunza neno la Mungu ili uzijue haki zako,then utaongozwa kufunja mikataba ya kipepo .nataka ujue hata kama utaombewa na hujapata maarifa ni rahisi hilo pepo kukurudia.
ukikombolewa katika hilo utakua umekomboa na kizazi chako.kwa msaada zaidi pm