Pole sana mpendwa..Hili swala ulipaswa uwepo mwenyewe na ukiwa na rekodi ya mambo aliyotendewa mwanao...Ikiwezekana mtafute Mazingira kuwa alikuwa anafanya self defence kutokana na matukio mengi ya kuonewa ambayo yalimu-affect kisaikolojia....
Ni kweli kabisa.Wewe waendee walimu kwa upole tu..Tatizo sina imani na mamdogo..Ikiwezekana na wewe wapigie simu hao walimu ukiwaambia upo mbali ili kuonyesha msisitizohayo ni mambo ya watoto kaeni na walimu wake mtaelewana tu....
Kongosho mm sipo namtuma mamdogo(mdogo wangu) aende sasa nimwekee maneno gani mdomoni?? binafsi siwez kusema nilimwambia apigane ingawa kuna uthibitishio wa mwanangu kupigwa mara nyingi tu na mm nikataka nae awe mkaka ajitetee mwenyewe.Sio ishu kivileeee
Hayo ni mapitio ya watoto tu
Mie mzazi aliwahi kuitwa shule, walimu wakang'ang'a, watoto hawana adabu watoto adabu
Ujue aliwajibu nini? Na nyie hamna adabu afu akasepa.
Kwa nini alijibu hivi? Sababu alikuwa na uhakika anasimamia yale alotufundisha mwenyewe.
Hutakiwi kwenda shule na kusema ulimfundisha mtoto kupigana
Hata unatakiwa ukacheze na siasa tu, hukiri kosa saaana kwako, lakini humwangushii lawama mtoto
Asprin ujue niliwaza nikupigie wewe nikuombe unisaidie kwenda huko shule, manake nataka mwanangu nae awe jasiri na sioni kosa manake nimekuwa nikilalamika sana juu ya watoto kuachwa kupigana hovyo, ingawa waalim wao hawako makin katika hili. pia nimewaza kumuhamisha tu shule manake naona mapaka afike grade 7 nitakufa kwa presha.Namuunga mkono mtoto. Alikosea angemng'oa mmojawapo meno liwe fundisho kwa wengine. Shenzy zao.
Kama walimu wana busara watakuwa mashuhuda kuwa mwanao alikuwa akionewa sana hapo nyuma na kimefika kipindi uonevu haukubaliki tena.
Kama walimu hawatakuelewa, fuata nyayo za mwanao... mtandike mmoja ngumi ya pua afu ondoka na mwanao. Mbona shule ziko nyingi tu.
Ila usisahau kumwambia mwanao hiyo ya kupiga ulikuwa unamtania tu, asijevunja mikono na korodani za wenzie wakawa watoto si rizki. Mungu hapendi.
Namuunga mkono mtoto. Alikosea angemng'oa mmojawapo meno liwe fundisho kwa wengine. Shenzy zao.
Kama walimu wana busara watakuwa mashuhuda kuwa mwanao alikuwa akionewa sana hapo nyuma na kimefika kipindi uonevu haukubaliki tena.
Kama walimu hawatakuelewa, fuata nyayo za mwanao... mtandike mmoja ngumi ya pua afu ondoka na mwanao. Mbona shule ziko nyingi tu.
Ila usisahau kumwambia mwanao hiyo ya kupiga ulikuwa unamtania tu, asijevunja mikono na korodani za wenzie wakawa watoto si rizki. Mungu hapendi.
my dearest, waali wa shule hii wamekuwa ni chanzo cha watoto kupigana hovyo kwani kila nikienda shule kusemea hili utasikia tutamshughulikia lkn hawawakemei wanafunzi wasipigane. naudhika sana kwann mwanangu kaonyeshe ubabae wao wanamuona kama culpritNi kweli kabisa.Wewe waendee walimu kwa upole tu..Tatizo sina imani na mamdogo..Ikiwezekana na wewe wapigie simu hao walimu ukiwaambia upo mbali ili kuonyesha msisitizo
Kongosho mm sipo namtuma mamdogo(mdogo wangu) aende sasa nimwekee maneno gani mdomoni?? binafsi siwez kusema nilimwambia apigane ingawa kuna uthibitishio wa mwanangu kupigwa mara nyingi tu na mm nikataka nae awe mkaka ajitetee mwenyewe.
sawa nimekupata ila ulitakiwa useme nn kifanyike.
asante sana Kongosho, at least umenitia moyo. ila vinaudhi sana kila siku mwanao kuonewa eti na wanaojiita wababe inaboa kweli. natafuta na shule ya karate kabisa.Rekodi zinamtetea
Waambie walimu utaongea na mwanao nyumbani
Afu akifika nyumbani, mpongeze kwa kuweka rekodi ya kiume
Ila asiendelee kuwapiga tena, maana hadi hapo ujue wameshamuogopa