Nioe tena au nibaki mgane

Nioe tena au nibaki mgane

Pole sana mkuu, Mungu awape nguvu.

Kama wakuu walivyosema, mwezi mmoja ni mapema kufanya maamuzi hayo.Huenda upweke ulioupata ghafla ndio umekufanya kuwaza hivyo licha ya kuwa ni mapema mno.

Tafuta ndugu wa kike(au mfanyakazi wa ndani) unayemwamini na anayeweza kukusaidia kuwaangalia watoo ukae angalau mwaka mmoja ndipo uanze kuwaza kama kuna ulazima wa kuoa.
 
dah! angekuwa mwanamke hapo ameomba ushauri!ingekuwa pg ya 60 nw kwa mijitusi
 
Back
Top Bottom