Ninywe Pombe gani wakuu?

Ninywe Pombe gani wakuu?

Kunywa coctail ya Gongo nusu glass uchanganye na cyanide robo glass. Hii ni guarantee.Bosi wako atakupenda na utapwea Pomotion mara moja:Cry:

October hata wewe mchungaji wangu unaniuwa? wewe nilitegemea useme mvinyo
 
Mzee pole sana kwa yaliyokukuta,

tafsiri yako ni kuwa ulikosa kazi kwa sababu hunywi? nani alikuambia?, au ulikuwa kwenye panell? hujawahi kufanya recruitment ww, kuna maswali ya yumprovocke mtahiniwa wanaangalia responce yako! you could have a creatical answers and be firm, walitaka waone msimamo wako, sasa wewe unachekacheka ulitegemea nn?

You must have a gud resasons why you dont drink alcohol! it shows that, you dont have a good reasons, Think again!!!! ndio maana unakuwa rahisi kuyumba!

la mwisho mzee kunywa pombe hakumfikishi mtu mahali anapotaka kimaisha, inategeme mipango thabiti na uwajibikaji wenye nidhamu ya kuheshimu yale unayopanga! we dont drink and we ar doing gud, we have nice jobs etc. But you must have a Good Reasons Why Dont You Drink!! be spiritual health, mental health, or financial health or even physical health!! Think Again Brother Usifuate Mkumbo....

Ishi maisha yako mwenyewe na uwe na misimamo yako! You can try and become worse of the worst... Alcohol Abstain is good Brother!! I am enjoying this life....................
 
Unafaa kuwa mwana-intelijensia. Jidunge ndovu barrrrrrriiid at least 3per day.
 
KUNYWA kONGO YA KIENYEJI NI NZURI SANA KWA AFYA!!
 
Wakuu,

Nimegundua ili ufanikiwe kama mfanya biashara au mfanyakazi wa ofisini inakulazimu kunywa pombe, kwa bahati nzuri au mbaya tangu nimezaliwa 2 decades na ushee ago, sijawahi kunywa pombe aina yeyote kwa sababu hiyo nimekuwa mbali na mafanikio kazini. Katika kudadisi kwangu nimegundua mabosi wengi ni wachapa maji wazuri na wanapenda wanywaji.

e.g juzi nimeomba kazi shirika moja linalohusika na biashara ya fedha, kwenye interview HR aliniuliza "do u normaly drink alcohol ? nikasema no!", akauliza tena no, means.... not at all or u drink ocassionaly nikamwambia hata harufu sinusi, akaniambia sasa utaperform vp kazi wakati unatakiwa ukutane na wazee gymcana club, kilimanjaro hotel na new africa, au utakuwa unapiga chai kila siku? nikajibu kwa tabasamu yes. Na ile kazi nimekosa kabisa.

Wanaokunywa pombe kwa kiasi huwa wanapanda vyeo kila kukicha kwa vile wanakutana na mabosi maeneo ya mabaa na wana motivate-ana hukohuko.

Kwa wafanya biashara deals hufanywa bar na sio kwenye grocery na maji ya kunywa kama nifanyavyo mimi.

Kama nilivyoeleza hapo awali sijawahi kugusa pombe nianze na ipi mdogomdogo ili nisi over dose? au ipi Tamu zaidi?

Ama kweli kuna njia nyingi za mafanikio katika maisha, ila hii imeniacha hoi.
 
Mzee pole sana kwa yaliyokukuta,

tafsiri yako ni kuwa ulikosa kazi kwa sababu hunywi? nanai alikuwmabia, au ulikuwa kwenye panell? hujawahi kufanya recrutment ww, kuna maswali ya yumprovocke mtahiniwa wanangalia responce yako! you could have a creatical answers and be firm, walitaka waone msimamo wako, sasa wewe ukechekacheka ulitegemea nn?

You must have a gud resasons wahy you dont drink! shows you dont have a good reasons, Think again!!!! ndio maana unakuwa rahisi kuyumba!

la mwisho mzee kunywa pombe hakumfikishi mtu mahali anapoteka, we dont drink and we ar doing gud, we have nice jobs etc. But you must have a Good Reaseons Why Dont You Drink!! be spiritual health, mental health, or financial health or even physical health!! Think Again Brother Usifuate Mkumbo

Ishi maisha yako mwenyewe na uwe na misimamo yako! You can try and become worse of the worst... Alcohol Abstain is good Brother!! I am enjoying this life....................

Mkuu umeniua kinoma mzee, ila umeongea ukweli mtupu.
 
Jaribu Ulanzi, Mbege au Rubisi, Kimpumu, dengerua. Hizi ni poa saaaaaaaaana


Nakushauri endelea kunywa soda tu na juice za bei mbaya. Pombe achana nazo.
 
Watu tunafikiria tutaachaje pombe wengine mnawaza jinsi ya kuanza Kunywa? I always say, Give me 1 advantage of drinking alcohol and I will give you 100 Disadvantages.
Nafikiri hiyo kazi ungeipata, The additional salary yote Ingukua inaishai bar. I gues you could be in a worse position than you are now.
Achana na pombe broda. Nakunywa sana ila sioni faida yake!!
 
images
 
Maskini pole.

Umeamua kuuza msimamo wako kwa ongezeko la kipato.

Hii imenisikitisha
 
Endelea kutafuta hadi upate kazi ambayo utakuwa ok bila kulazimika kuwa mlevi.
 
Back
Top Bottom