Ninyi wanawake, mnafikiri kwamba mnatuzidi akili?

Gaddaf i06

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2022
Posts
1,770
Reaction score
2,845
Kwa ufupi,

Jamaa alianzisha mahusiano na ke ambaye alikuwa na mimba changa (haikufahamika kama ana mimba), siku chache tu ke akasema ana mimba ya jamaa!

Jamaa akasema ok, akalea mimba kwa ukaribu na kwa upendo. Siku zikapita takribani miezi kama 7/8 hvi, ke akaona akiendelea kukaa karibu na jamaa atakuja umbuka! (yalikuwa maeneo jirani na kazini kwa me)

Ke akaamua kuaga kwenda kwa ndugu yake wa mkoa jirani.

Muda mfupi tu akapiga simu kwamba mimba imesumbua sana akaenda hospitali madaktari wakamwambia kwamba mtoto hajakaa vizuri tumboni ikabidi wamfanyie operation, mtoto akatolewa so akajifungua kwa namna hyo (kabla ya wakati)

Kama kawaida yetu wazee wa kufanya uchunguzi, tukagundua alijifungua salama, na huyo mtoto si wa jamaa!
(ila ke mhusika hajajua, na matumizi anaomba kwa kasi ya 4G)

Je, imewahi kukukutwa stuation kama hii? Unasemaje kwa hili;
 
Siti ya kwnza
 
Sijaelewa kabisa.... Kwa hiyo amejifungua kwa njia ya kawaida?(kapush).

So anategemea jamaa hatauliza baada ya kutokuona mshono wa tumboni?
Yeye uwezo wake wa kufikiri ulikomea hapo.
pengne alitaka jamaa ahudumie tu na mwisho wa siku angekuja kumwambia ukweli akiwa ameshavuna vya kutosha
 
Kwa ufupi,

Jamaa alianzisha mahusiano na ke ambaye alikuwa na mimba changa (haikufahamika kama ana mimba), siku chache tu ke akasema ana mimba ya jamaa!

Jamaa akasema ok, akalea mimba kwa ukaribu na kwa upendo. Siku zikapita takribani miezi kama 7/8 hvi, ke akaona akiendelea kukaa karibu na jamaa atakuja umbuka! (yalikuwa maeneo jirani na kazini kwa me)

Ke akaamua kuaga kwenda kwa ndugu yake wa mkoa jirani.

Muda mfupi tu akapiga simu kwamba mimba imesumbua sana akaenda hospitali madaktari wakamwambia kwamba mtoto hajakaa vizuri tumboni ikabidi wamfanyie operation, mtoto akatolewa so akajifungua kwa namna hyo (kabla ya wakati)

Kama kawaida yetu wazee wa kufanya uchunguzi, tukagundua alijifungua salama, na huyo mtoto si wa jamaa!
(ila ke mhusika hajajua, na matumizi anaomba kwa kasi ya 4G)

Je, imewahi kukukutwa stuation kama hii? Unasemaje kwa hili;
Ajaenda kumuona mtoto au ,?
 
ndiyo sababu ukifika umri wa kuoa oa ili ujiepushe na upuuzi wa namna hii
 
Sasa uyo mdada anajua kuwa jamaa atokula tena mzigo ili hali anajua ipo siku atauona tu mshono ila wanawake wengine hawana mbinu kabisa
 
hata hvyo zote tunazijua!
mm tu peke yangu, najua mbinu 34
 
Halafu wajuba tukikataa mimba mnatuanzishia kampeni [emoji276]kanuni ni moja tu kama Mwanamke ambae sio mkeo ni kwamba inatakiwa Usikubali wala kukataa unakuwa 50/50,hii kanuni inaitwa free gear hautatumia mafuta mengi
 
Nyie mnaojiita
wazee wa kufanya uchunguzi kwani
Mna maslahi gani na mahusiano ya uyo jamaa na demu wake[emoji848]
 
Back
Top Bottom