Ninyi wanawake, mnafikiri kwamba mnatuzidi akili?

Ninyi wanawake, mnafikiri kwamba mnatuzidi akili?

Halafu wajuba tukikataa mimba mnatuanzishia kampeni [emoji276]kanuni ni moja tu kama Mwanamke ambae sio mkeo ni kwamba inatakiwa Usikubali wala kukataa unakuwa 50/50,hii kanuni inaitwa free gear hautatumia mafuta mengi
Neutral
 
Mkuu DeepPond sisi wanaume hatuko tayari kuona rafiki akiumizwa na vitu vya kawaida kawaida. lazma asaidiwe kufanya uchunguzi kadri inavyowezekana.
 
Kwa ufupi,

Jamaa alianzisha mahusiano na ke ambaye alikuwa na mimba changa (haikufahamika kama ana mimba), siku chache tu ke akasema ana mimba ya jamaa!

Jamaa akasema ok, akalea mimba kwa ukaribu na kwa upendo. Siku zikapita takribani miezi kama 7/8 hvi, ke akaona akiendelea kukaa karibu na jamaa atakuja umbuka! (yalikuwa maeneo jirani na kazini kwa me)

Ke akaamua kuaga kwenda kwa ndugu yake wa mkoa jirani.

Muda mfupi tu akapiga simu kwamba mimba imesumbua sana akaenda hospitali madaktari wakamwambia kwamba mtoto hajakaa vizuri tumboni ikabidi wamfanyie operation, mtoto akatolewa so akajifungua kwa namna hyo (kabla ya wakati)

Kama kawaida yetu wazee wa kufanya uchunguzi, tukagundua alijifungua salama, na huyo mtoto si wa jamaa!
(ila ke mhusika hajajua, na matumizi anaomba kwa kasi ya 4G)

Je, imewahi kukukutwa stuation kama hii? Unasemaje kwa hili;
Sasa sisi wanawake wengine tumeingiaje hapo😭😭🤣 Kama jamaa hajalalamika wewe shemeji/ chawa tulia tu udeal na mahusiano yako😀
 
Back
Top Bottom