am a girl
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 748
- 506
Nahitaji simu yenye kuanzia 16 gb na yenye camera nzuri yani high quality ya ukweli. Iwe laini mbili lakini sio tecno.
Naombeni mnishauri aina gani ndo itanifaa kutokana na specs zangu hapo. Pia budget yangu iko kawaida(i cant afford iphone wala samsung s5 kuendelea)
Nilitaka kuchukua huaweii y6 pro ila kuna mtu akanambia eti 16gb unaeza ona ni nyingi lakini kati ya hizo either 4gb au 8gb inakua occupied na system ya simu halafu wanakuachia hizo gb chache zilizobaki for your own use.
Samsung nao naona kila wakitoa simu mpya basi camera ya simu za nyuma inapoteza ubora.