- Thread starter
- #21
680,000/=L805 ni shilingi ngapi mkuu?
680,000/=L805 ni shilingi ngapi mkuu?
Umenunua wapi mkuu?680,000/=
Umenunua wapi mkuu?
Je ni mpya?
Bei ni nzuri nipe connection nataka Epson L850.
mpya kabisa mkuu, kariakooUmenunua wapi mkuu?
Je ni mpya?
Bei ni nzuri nipe connection nataka Epson L850.
Ukiona L3111 inakufaa njoo nikuuzie kwa laki 3 nimeitumia kidogo nikairudisha kwenye box..pia nina heat press 5 in 1 mpya vyote laki 7.Umenunua wapi mkuu?
Je ni mpya?
Bei ni nzuri nipe connection nataka Epson L850.