Ninunue mahindi au nilime kwa kumuagilia?

Ua4

Member
Aug 30, 2016
32
54
Habarini wakuu!
Nimekuwa nikitafuta tafuta vipesa kwa muda mrefu, ila nimebahatika kupata kama milioni 5. Napenda kuwekeza kwenye chakula hasa mahindi. Tatizo ninalopata ni kuwa nimepata vipesa hivi wakati msimu wa kulima mahindi kwa mvua umepita!
Nimekuwa nikiwaza waza sana, nikawa natamani nilime kwa kumwagilia kuanzia mwezi wa sita mwishoni mkoani Morogoro, ila nawaza kuwa nitatumia gharama kubwa kwenye kumuagilia na nikivuna nitakutana sokoni na wale waliotumia mvua, maana yake Mimi nitapata hasara.
Pia nimewaza kununua kwa wakulima na niuze baadae, japo mawazo pia hunijia naweza nikanunua ikifika miezi ya huko mbeleni bei isipande.

Nimeona nije kwenu nipate ushauri kuhusu mawazo hayo mawili, maana naona peke yangu sitoshi na sina uzoefu pia. Naombeni mnisaidie walau mawazo kidogo katika uzoefu kwenu wa hapa na pale ili nisonge mbele.

Natanguliza shukrani kwa atakae nisaidia.
 
Nisaidie mchanganuo wake, sijawahi kukiwazia kabisa ndugu yangu, labda unaweza kuwa msaada
Kitunguu swaumu ni rahisi na pia kina faida sana kwa sababu kinalimwa na wenye mitaji mikubwa tu,naomba kesho nikupe A to Z
 
Najua mtu (rafiki) anafanya biashara ya kununua mahindi na kuuza baada ya miezi 6 hivi kupita,ni kati ya vijana wenye mafanikio ninaowajua.Go for it
 
Habarini wakuu!
Nimekuwa nikitafuta tafuta vipesa kwa muda mrefu, ila nimebahatika kupata kama milioni 5. Napenda kuwekeza kwenye chakula hasa mahindi. Tatizo ninalopata ni kuwa nimepata vipesa hivi wakati msimu wa kulima mahindi kwa mvua umepita!
Nimekuwa nikiwaza waza sana, nikawa natamani nilime kwa kumwagilia kuanzia mwezi wa sita mwishoni mkoani Morogoro, ila nawaza kuwa nitatumia gharama kubwa kwenye kumuagilia na nikivuna nitakutana sokoni na wale waliotumia mvua, maana yake Mimi nitapata hasara.
Pia nimewaza kununua kwa wakulima na niuze baadae, japo mawazo pia hunijia naweza nikanunua ikifika miezi ya huko mbeleni bei isipande.

Nimeona nije kwenu nipate ushauri kuhusu mawazo hayo mawili, maana naona peke yangu sitoshi na sina uzoefu pia. Naombeni mnisaidie walau mawazo kidogo katika uzoefu kwenu wa hapa na pale ili nisonge mbele.

Natanguliza shukrani kwa atakae nisaidia.
Umwagiliaji upo wa aina nyingi .
Sasa fafanua ili tukushauli
 
Siyo rahisi sana mahindi kushuka bei , nunua kuanzia mwezi wa sita, mwezi january yaweza kuwa mara 2 ya bei ulio nunulia. kulima faida ipo tatizo return yake inachukua mda mrefu. kingine tembelea wafanyabishara wa mahindi walio karibu watakupa picha halisi, pia jaribu kupeleleza ujue upatikanaji wa mahindi, kozi msimu huu huko kanda ya ziwa ulikuwa mbaya sana kwa mazao.
 
Nunua weka store had mwezi wa 12 uuze lazima utapata faida hlf sasa ndo uingie kwenye kilimo cha mahindi kipindi cha mvua kwakuwa uzoefu wako bado mdogo misukosuko ya kilimo cha mahindi kwa umwagiliaji ni mingi...
 
Mkuu nunua mahindi uza mwezi wa 1 au wa 2

Mwaka huu hali ya chakula sio nzuri,utapiga faida nyingi mda huo,
 
Haya mkuu usisahau
Elezea hapa bab hata wengine tunataka kujua hiyo kilimo cha kitunguu swaum, na mie nipo na shida kama ya ndugu yangu mtaji wangu ni huo huo mil 5 nmewaza nmechoka
 
Kwa hiyo hela ukinunua mahindi ukaweka uje kuuza baadae utapata faida ila usiwe na haraka kwenye kuuza
 
Nunua weka store had mwezi wa 12 uuze lazima utapata faida hlf sasa ndo uingie kwenye kilimo cha mahindi kipindi cha mvua kwakuwa uzoefu wako bado mdogo misukosuko ya kilimo cha mahindi kwa umwagiliaji ni mingi...

Changamoto ya kilimo cha mahind kwa umwagiliaji ni zipi mkuu msaada wako maana nna plan ya kulima shambani kwangu maji yapo mengi tu
 
Nunua mahindi kilimo kinatuma sana, kina stress, na hasara kibao kuliko biashara ya kununua mazao. Ndiyo mana madalali na wafanyabiashara wa mazao ni matajiri kuliko wakulima.
 
Back
Top Bottom