Ninunue mahindi au nilime kwa kumuagilia?

Changamoto ya kilimo cha mahind kwa umwagiliaji ni zipi mkuu msaada wako maana nna plan ya kulima shambani kwangu maji yapo mengi tu
Kilimo cha umwagiliaji kiko cha aina tatu 1.kwa njia ya matone(drip irrigation system),2. Njia ya miferiji(farrow irrigation),3.njia ya unyeshaji( sprinkler irrigation). Njia nzuri ya drip ni ghali kidogo hivyo ina hitaji ulime (high value crop )mazao yenye thamani kubwa kama mbogamboga na matunda kama vile nyanya, vitunguu, hoho, tikiti na kadhalika ili uweze kurudisha gharama zako haraka hapa sishauri ulime field crop kama mahindi na mengineyo faida za njia hii inatumia maji kidogo, haihitaji manpower kubwa, ni rahisi kuweka mbolea kwani mbolea huchanganywa kwenye tank la maji, 2.njia ya mifereji ni nzuri ila huitaji maji mangi,inafaa kwenye sehemu ya mteremko wa wastani(gentle slope), inafaa zaida mazao ya mpunga, vitunguu na kadhalika
3.njia ya kunyeshea(sprinkler irrigation) ni njia ambayo inahitaji uweke installation ya system ya mabomba(pipe line) kwenye shamba hii inafaa kwa mazo ya field crop kama mahindi, miwa, viazi na kadhalika hivyo kulingana na mtaji wako anza na kilimo cha kumwagilia kwa generator kwa kumia pipe ambacho ni kilimo locally na ulime mahindi kwa ajili ya kuuza mabichi ya kuchoma ndio utapata faida kubwa ukiwa na mtaji wa kutosha ndo uangalie hizo njia
Changamoto za umwagilia ni mtaji, upatikanaji wa maji na yanayofaa kwa umwagiliaji maji yanatakiwa yasiwe na kiwango kikubwa cha chuvi( yaani yawe chini 6.8 pH),levelling na installayion nzuri ya shamba yapo mengi ya kueleza ...
 
Oohhh ahsante mkuu kwa ufafanuzi mzuri
 
Umesema mahal mahind ya kuchoma,,samahan naomba kuuliza katika vitu ambavyo akili yangu inaamin ninkwamba wanaolima mahind ya kuchoma hawapat faida,,sasa naweza kua akil yangu haiko sawa,maana nikipiga hesab za ulimaji wake naona kama sielewi elewi,so unaweza kunisaidia mdadavuo ndugu VeroEretico
 
Wanapata faida kubwa sana.Mahindi ya kuchoma yanalimwa wakatati ambapo upatikanaji wake unakuwa mdogo sokoni(low supply) au wakati wa off season( kiangazi) hali hii hufanya kuwa na uhitaji mkuubwa(high demand) hivyo hupelekea bei kuwa kubwa au unalima na kuuza sehemu yenye watu wengi/iliyochangamka/mjini
Kwa kawaida eneo la ekari moja yenye mita za mraba( 4000 m2) lina mimea ya mahindi(plant population) 14814 hivyo wewe unawauzia wachuuzi na wachoma mahindi kwa kila mhindi yakiwa shambani tsh 300 hapo utapata tsh 4,444,200/= na hiyo idadi ya mahindi shambani kila mmea unakuwa umebeba mhindi mmoja mmoja ila ukiwa na management nzuri mahindi mengi huwa yanabeba mahindi mawili mawili hapo kipato kinaweza kuongezeka zaidi
 
Wanapata faida kubwa sana.Mahindi ya kuchoma yanalimwa wakatati ambapo upatikanaji wake unakuwa mdogo sokoni(low supply) au wakati wa off season( kiangazi) hali hii hufanya kuwa na uhitaji mkuubwa(high demand) hivyo hipelekea bei iwe kubwa au unalima na kuuza sehemu yenye watu wengi/iliyochangamka/mjini
Kwa kawaida eneo la ekari moja yenye 4000 m2 lina mimea ya mahindi(plant population) ) 14814 hivyo wewe unawauzia wachuuzi na wachoma mahindi kwa kila mhindi yakiwa shambani tsh 300 hapo utapata tsh 4,444,200/= na hiyo idadi ya mahindi shambani linakuwa limebeba mmoja mmoja ila ukiwa na management nzuri mahindi mengi huwa yanabeba mahindi mawili mawili hapo kipato kinaweza kuongezeka zaidi
Hii safi sana....vipi wanunuzi wapo?
 
Wapo wewe unatakiwa usome majira ya defficity ya mahindi mtaa ndo utaimu ili ukija kuvuna uvune waka wa high demand na unatafuta soko kwanza kwa wachoma mahindi mtaani
Asantee sana....kumbe nayo Imelda poa,halafu naona ni bora kulko kusubiria yakauke
 
Back
Top Bottom