Ninunue gari ipi kwa safar ndefu

Ninunue gari ipi kwa safar ndefu

Kama ni mtu wa speed naona Sedan yoyote yenye CC 2000+ itakufaa iwe mjap au mjeru ni poa.
 
Tafuta mitsubishi Pajero 2005- hadi 2007, kwa safari ndefu cc 3000.
Ni gari nzuri sana na ni kubwa its competition are the like of prado
 
Chukua Toyota Prado, make sure ni Petrol Engine 3 RZ - nzuri sana, ina 2400 cc, na inakula vizuri sana safari ndefu, ina spare, mafundi, ila ni umeme kwenye mfumo wa uendeshaji mafuta, keep an eye kwenze autonator kila wakati!
 
Mkuu wote wanaoanzisha nyuzi za kununua magari sio wanunuzi wa magari wengine wakishiba tu wanawaza magari na kuanzisha nyuzi wengine wanaweza kukufata inbox ukadhani ni wateja kumbe ni shibe tu mnunuzi wa gari anajua anachokihitaji..
mkuu ulichosema ni sahihi kabisa💯
 
Back
Top Bottom