Ninunue gari ipi kwa safar ndefu

Ninunue gari ipi kwa safar ndefu

Habar wakuu nimekuja kwenu mnishauri nataka kununua gari lakini mim nimtu wa safari ndefu,dar kigoma,dar mwanza,dar mbeya,,gari ipi itanifaa kwa safar ndefu budget 25-35m NB ni iwe family car
Nunua toyota landcruiser mjomba 😁🤝
 
Back
Top Bottom