Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,350
- 4,485
Kama hakuelekezwa namna ya kuishika, basi kapitia mafunzoAnawajibika vizuri
Kama hakuelekezwa namna ya kuishika, basi kapitia mafunzoAnawajibika vizuri
Si kwa gari kubwa mkuu lazima tu ligomeLilikuwa kwenye mtelemko labda...
Kwa akili ya huyu hawezi kugeuza mtutu kwetu kweli..Huyo jamaa wa kushoto kwake unahisi anawaza nini
enzi za Nyalandukaingia kwa kasi,yani kama gari anaondokea na gia namba 5
Kwenye 48 laws of power cha Robert Greene. Kuna law inasemaKwa nini wateule wa awamu hii wanapenda sana Drama
Alikuwa huko kabla...Kama hakuelekezwa namna ya kuishika, basi kapitia mafunzo
Ni ngumu sana na inahitaji mtu makini sana!!na sio msanii msanii!!na mzee wa matamko tamko bila kufikiria mwishowe utaonekana zuzu!! Ila kwa kuwa ndio jamaa anapenda kula naye ina bidi uwe hivyo!!Sawa tuombe uzima tu ila mkuu hii wizara ni pasua kichwa
huwa wanaanza na mbwebwe,muda utatupa majibuLazima lizime tu utaondokaje na gear namba 5
Afande wa kushoto kashika kiuno huku akiwa na masaibu makubwa mno kichwani mwake.Weka neno kwakeView attachment 811677
Sio kwamba akifyatua risasi itakata kona Na kuua mmoja wa hao mbwa hapo?haha... hajaigeuza kapatia.
ila anaweza kuanguka nayo.
Acha tuvute subira mkuuhuwa wanaanza na mbwebwe,muda utatupa majibu
Ndiyo maana anajua hadi kuikamata vyema, huo ndiyo ushikaji wa bundukiAlikuwa huko kabla...