Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Weka neno kwake
Anawajibika vizuriWeka neno kwakeView attachment 811677
Ana pupakaingia kwa kasi,yani kama gari anaondokea na gia namba 5
Lazima lizime tu utaondokaje na gear namba 5kaingia kwa kasi,yani kama gari anaondokea na gia namba 5
haha... hajaigeuza kapatia.ameigeuza
Akitoboa hiyo wizara mpaka 2020 akatambike fupa lazima limshinde tuWeka neno kwakeView attachment 811677
Tena huwezi amini huyu ndio anaweza kuwa waziri atakaye kaa kwenye wizara hii kuliko wengine tangu uhuru!!kwani usanii wake na matamko yake ndiyo yanapendwa sana na jiwe!!na yeye ameshajua nini jiwe linatakaAkitoboa hiyo wizara mpaka 2020 akatambike fupa lazima limshinde tu
kasimama mguu sawahaha... hajaigeuza kapatia.
ila anaweza kuanguka nayo.
Sawa tuombe uzima tu ila mkuu hii wizara ni pasua kichwaTena huwezi amini huyu ndio anaweza kuwa waziri atakaye kaa kwenye wizara hii kuliko wengine tangu uhuru!!kwani usanii wake na matamko yake ndiyo yanapendwa sana na jiwe!!na yeye ameshajua nini jiwe linataka
Wanamuiga aliyewateuaKwa nini wateule wa awamu hii wanapenda sana Drama
Lilikuwa kwenye mtelemko labda...Lazima lizime tu utaondokaje na gear namba 5