Mmh okDiving volley
Hongera aliyepiga picha maana ukiangalia haraka haraka itakutaranisha
Kinachoonekana ni mguu na mkono hewani then mguu mwingine na mkono hewani kwa eneo la chini
Sasa kwa kuwa jersey ni long sleeve na rangi ya bukta na fulana zote sawa inachanganya kidogo
Kuna watu humu ndani wanaweza kumzingizia mzee wetu wa Monduli, alafu huyo mwenye jezi nyeupe mbona analia?
Mwenye jezi nyeupe amepatwa na mshituko kwa anachokiona....kaogoa kweli kweli.Kuna watu humu ndani wanaweza kumzingizia mzee wetu wa Monduli, alafu huyo mwenye jezi nyeupe mbona analia?
Rigobert SongHuyo beki Ni nani?
Ni sahihi.. Wakati huo alikua anacheza wapi?Rigobert Song
Anaifundisha chad sahivi.. Na chad inacheza Na Taifa stars LeoRigobert Song
Rigobet SongHuyo beki Ni nani?