Ninini hiki kinatokea duniani?

Ninini hiki kinatokea duniani?

Status
Not open for further replies.
Mshana Jr

Dunia Uwanja wa Fujo
Dunia Tambara Bovu
Yanini kujitaabisha!?
Watu walianza Afrika
Wasambaa Duniani
Rangizo zawa "pale"
Wakaamua ushenzi
Wamshinda Ibilisi
Wajipongea bado
Lakini Moto ni Moto
Asili yake ni Asili
Kama Karma tu
Lazima irejee tu
Ngamani kwetu
Kama maharage
Yaruka na kuruka
Chunguni yarejea

Usiwe na hofu
Asili itashinda

Bazazi
 
@Mshana Jr

Dunia Uwanja wa Fujo
Dunia Tambara Bovu
Yanini kujitaabisha!?
Watu walianza Afrika
Wasambaa Duniani
Rangizo zawa "pale"
Wakaamua ushenzi
Wamshinda Ibilisi
Wajipongea bado
Lakini Moto ni Moto
Asili yake ni Asili
Kama Karma tu
Lazima irejee tu
Ngamani kwetu
Kama maharage
Yaruka na kuruka
Chunguni yarejea

Usiwe na hofu
Asili itashinda

Bazazi
Its Bazazi again...!!! Mzee wa vina [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Wangekuwa ni Wafrika au ni waarabu (waislamu) mbona ingekuwa ni balaaa kwa mataifa ya magharibi? Lakini wanayafanya wao ni sawa tuuu na waafrika wakiristo na kimyaaaaaaa
 
Pale tulipokubali tamaduni za kimagharibi, kuanzia style ya maisha, imani za kidini nk ndipo tulipoharibu.

Sasa hivi mwanaume kabisa anashikishwa ukuta na anatoa miguno, ooh gosh!
Kikubwa ni elimu ya kujitambua kuwa na uwezo wa kukataa huu ujinga.

Tunahitaji elimu ambayo itamfanya mtu asijisike inferior kwa kutokuiga utamaduni wa ajabu

Elimu ambayo itatufanya tu feel proud of our culture.

Elimu ambayo itaweza kufanya upembuzi yakinifu ya nini tuige na nini tusiige from wazungu.
 
Nimejaribu kutyping zaidi ila kila ninachotaka kukitypng nakifutaaa

Walimwengu acheni jamani nikae kimya maana hawa wazungu wanaweza kuanza kutupandikizia hata kwenye vyakula au mbolea mwisho wasiku mwanaume unaanza kujihisi kikekike2. Jamani tuwakataeni jamani hawafai jamani nawewe unaemla mwanaume mwenzako usijione mjanja sana nawewe soon utaliwa2
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom