Nini unaogopa sana katika Maisha????

Nini unaogopa sana katika Maisha????

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
1-Jela
2-Kufa
3-Kubakwa
4-Talaka
5-Ugonjwa
6-Shetani
7-............

Mimi naogopa sana Jela na Shetani, Je ww unaogopa nini? Ukitaja na sababu itakuwa vizuri....
 
Ugonjwa ni nomaa.


"Sumu ya teja ukonga keko segereaaa,machizi wangu waliniambia ntoto wa mbonde kaenda karudi mnene eh,ukuta upo utashika bure ukurutu bureee vipeleee bureeee"---Maembe

Bofloooooooooooooooooo!
 
1 .
Ugonjwa ;
Nitatibiwa
2 .
Jela ;
Nitafungwa na kutoka
3 . Talaka ;
Nitaoa/Nitaolewa mwingine
4 .
Kifo ;
Hakina m'badala
Hapa ndy mtihani
 
Ugonjwa haswa usiotibika au wenye kuleta ulemavu wa maisha..
 
Kuwa chakula nayo inatisha, watu woote wanakula afu mdomoni giza, unatafunwa, kupita kooni la lile giza jamani.
Hapana kabisa.
 
Naogopa kuwa nyumba dar, hasa za wenyeji.

Ukipita Kariakoo wale watu wooote usiku wanalala mahali fulani.
Nyumba zingine zina watu hata 20.

Bado za wenyeji nazo zinajaa sana hasa wakati wa kazi, hebu fikiria wee ndo nyumba afu uko pale kwa mtogole.

Afu nyumba hata hazisafiri wala hazina likizo.

Sitaki kuwa nyumba kabisa lol

Chagua nyingine
 
Na hatari nyingine ni kuwa kitanda, unalaliwa daily afu na kushuhudia matukio halali na halifu.
 
...naogopa vitu ambavyo hauwezi kurestore....kifo...kupoteza bikra...
 
1-Jela
2-Kufa
3-Kubakwa
4-Talaka
5-Ugonjwa
6-Shetani
7-............

Mimi naogopa sana Jela na Shetani, Je ww unaogopa nini? Ukitaja na sababu itakuwa vizuri....

mbona hujataja sababu mjomba?
 
Back
Top Bottom