Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,554
- 11,485
Naogopa kuwa nyumba dar, hasa za wenyeji.
Ukipita Kariakoo wale watu wooote usiku wanalala mahali fulani.
Nyumba zingine zina watu hata 20.
Bado za wenyeji nazo zinajaa sana hasa wakati wa kazi, hebu fikiria wee ndo nyumba afu uko pale kwa mtogole.
Afu nyumba hata hazisafiri wala hazina likizo.
Sitaki kuwa nyumba kabisa lol
Hahahahaaa bora uwe nyumba kuliko kitanda