Kweli unaweza kumaliza kilo 2 ๐๐ ?Ingekua sio sababu za kiafya kitimoto ningekua nafuta hata kg 2 napenda ile ngozi yake ikikauka baada ya kukaanga.
Mate yananitoka๐ฅฒ
Ya kukaanga nafuta halafu baada ya hapo nipewe kikombe cha maziwaKweli unaweza kumaliza kilo 2 ๐๐ ?
Uliidownload au? ๐๐ Mimi Kuna mtu aliitaka nikamdowmloadiaSalama mzee wa A.......... angel, vipi mmeamkaje huko?
Ile movie yako si nikaenda kuigoogle buana ๐คญ๐ซฃ ๐
๐Ya kukaanga nafuta halafu baada ya hapo nipewe kikombe cha maziwa
๐๐๐๐๐Nimekuja mbio nikajua ni jambo la maana๐ฎ
Hapana, sina mtu wa kumdownlododia ๐Uliidownload au? ๐๐ Mimi Kuna mtu aliitaka nikamdowmloadia
Daaah, wewe kiboko ๐๐Ya kukaanga nafuta halafu baada ya hapo nipewe kikombe cha maziwa
๐๐๐kUna bidada Jirani yangu alinikuta na download movie ๐๐ akaniganda nimchukukue mambo fulaniHapana, sina mtu wa kumdownlododia ๐
๐๐๐๐๐Daaah, wewe kiboko ๐๐
Basi wewe na huyo bidada jirani yako mna ujirani mwema ๐ ๐๐๐๐kUna bidada Jirani yangu alinikuta na download movie ๐๐ akaniganda nimchukukue mambo fulani
Napata kiporo cha chipsi ๐
๐๐๐Basi wewe na huyo bidada jirani yako mna ujirani mwema ๐ ๐
Inapendeza sana!
๐๐๐๐๐๐๐๐
Hebu mtag tukusaidie kukuitia!Kuna mtu nimemmiss mpaka naishiwa pawa