Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,213
Nakumbuka ulipataga vocha za elfu 20 ephen akee πππIla enzo usijitoe ufahamu! Ungekua na hela tusingekesha kipindi kile kama wehu kusubiri vocha za bure.
Mods walitukosea kufuta ule uzi, nilikua nina uhakika wa bundle, zikimwagwa nazoa hadi za 20kπ
Nilizipata kwa siku 1 halafu, vocha nilizozoa hata 70k zinafikaNakumbuka ulipataga vocha za elfu 20 ephen akee πππ
Sawa tajiri usiye na baya ππ€£π€£π€£Huwa wananisingizia sinaga tabia hizo
Wacha wewe π π π π ndio maana Kila siku huwa namuombea kwa mwenyezi mungu tajiri Bantu Lady Aishi maisha marefu sana yule siku ile nilipata vocha za elfu 35 walahi πNilizipata kwa siku 1 halafu, vocha nilizozoa hata 70k zinafika
Matajiri wa jf wangeendelea kumwaga ningefungua biashara ya kurusha vocha
Lamomy unatukana sana, usitukane banaUnagawa kijambio kwa macheni πΉπΉ
Kuna sponsor kapatikana ila sio yeye anataka umuhudumie mbwa wake usiku mzima. Unafanya shingapi kitumbo mbwata??
Basi nimeacha kipenzi changu π₯π₯ΉLamomy unatukana sana, usitukane bana
Muache atukane yeye, wewe usitukane. Huyo penseli anapenda sana matusiπBasi nimeacha kipenzi changu π₯π₯Ή
Sirudii tena
Hongera sana, umepiga hatua kubwa sana.Njoo tushare yale ambayo tumeamka tunajivunia na yanatupa furaha kwa siku ya leo.
Binafsi, leo kwenye safari yangu ya kupunguza uzito, rasmi nimeshuka chini ya 70kg, najivunia na nimefurahi sana.
View attachment 3469077
Nikifika lengo langu la uzito ninaoutaka nitarudi kuwasimulia mapito na hekaheka za safari hii ambayo nimeianza tokea January na nikaja humu in February kuomba ushauri (NISAIDIENI NIPUNGUE) - kwa sasa, I'm proud of myself.
Najua inakuuma mkia kuondoka, ila vumilia tu ππ kamwili kawe kadogo niweze kukaa juu zaidi ya dakika 2 πNaungana na mke wangu kujivunia kamwili portable alikokapata baada ya kupunguza mwili
Nimefurahije π mwanamke kuiomba inahamasisha π kwahiyo hapo mwepesiiiiiii mwenyewe πUsku wa kuamkia leo nimekandwa haswaa Binti wa zamani halafu nimea apply ile mbinu acha niutake mwenyewe saa 9 usiku tulikuwa live mpaka azana!
πbyeπ€£
Asante sana , ushauri wako wa February niliuchukua nikatafuta nutritionist, nikajifunza kuhusu the science behind weight loss, tukatengeneza meal plans na imenisaidia sana.Hongera sana, umepiga hatua kubwa sana.
Wanawake wengine wajifunze kwako sio wasingizie eti unene ndo urembo.
SijapendaHongera sana, umepiga hatua kubwa sana.
Wanawake wengine wajifunze kwako sio wasingizie eti unene ndo urembo.
Ni zaidi ya mwepesiiiiiNimefurahije π mwanamke kuiomba inahamasisha π kwahiyo hapo mwepesiiiiiii mwenyewe π
Bye, enjoy π
Kweli udugu umelombwa vizuri πππNi zaidi ya mwepesiiiii
Natamani kutoa ushuhuda kwa mwamposaπ π
We Acha tuuu ouyeeeeesπKweli udugu umelombwa vizuri πππ